Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Hatutaki watu wenye makandokando

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kingunge ni muumini wa ujamaa wa urusi.... baada ya kutumwa Na nyerere kwenda kujifunza ukomunisti enzi za USSR ndipo aliachana na ukristo. Si yeye tu wapo wengi. Acha kuweka hadithi za kitoto.

Post sent using JamiiForums mobile app

Jifunze kuelewa na kujenga hoja kwa Mifano.

Mie nimekueleza kuwa Kingunge aliachana na Ukatoliki akiwa Kidato cha pili na hayo kayaeleza Mwenyewe 2010 kwny Press conference akipinga Tena Msimamo wa Kanisa Katoliki kutoa Waraka wa kuwaelekeza Wakristo namna ya kupiga kura.
Wewe Umeniita Mjinga na Muongo kwa kueleza Wapi na Lini alijiunga Kwny Ukomonist kuwa ni baada ya Uhuru Nyerere alipowapeleka USSR kusoma.

Nyakati za kujiunga na Ukomonist si lazima iwe ni tarehe aliyojitoa kwny Ukatoliki ni sawa na sasa tarehe ya kujitoa CCM si lazima iwe ni tarehe hizo hizo ndio awe kajiunga na Chama kingine!

Kama Yeye kasema Alijitoa akiwa kidato cha Pili na Mie nakuwa Mjinga kumuamini Kingunge badala ya Wewe basi ni Vizuri Kama utathibitisha kuwa aliondoka Tanzania akiwa Mkatoliki kwa kuwa huenda aliondoka akiwa so Mkatoliki na pia si Mkomonist japo alirudi akiwa Mkomonist.
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Akirudi mtatangaziwa kama madiwani wanaohama mnavyowatangaza kupitia kitengo cha kuhamia si bado kiko kazini hakijamaliza mradi waliokabidhiwa
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!

Hv kingunge alishawahi kutangaza ana hama chama? Mm niliwahi msikia akisema anaunga mkono upinzani kwenye kampeni za uchaguzi 2015
 
Back
Top Bottom