Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Wewe hujasikia kauli ya SLOW SLOW kwamba Chadema tunawamaliza wiki hii? Soma nyakati utaona bro

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwani Lowasa au Dr Slaa na yule Sumaye waliwahi kurudisha kadi za CCM?!!

hapana, hawakurudisha kadi za ccm, lakin walichukua kadi za chadema! ukichukua kadi ya chama kingine maana yake ile ulokuwa nayo zamani imekufa.

sasa kingunge hajawahi chukua kadi ya chadema. alikuwepo chadema kuwapa sapoti tu.
 
Uliwahi kumuona Sumaye siku akikabidhiwa kadi ya chadema?
 
Ni kweli kabisa, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru hajawahi kusema kahama CCM na hajawahi kujiunga na CHADEMA; ila alienda UKAWA kuongeza nguvu wakati wa kampeni.
Unadhani aliposema CCM imeishiwa pumzi alimaanisha nini?!
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!

Kwani alitoka lini?
Sijawahi muona akipokea kadi ya chama chochote!
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Arejee akitokea wapi? kwani aliwahi hama chama cha mapinduzi!...au ile kusema anamuunga mkono Lowassa kugombea Urais kwa kupitia Ukawa ndo mnasema aliondoka CCM? na je kwani alijiunga na chama gani mpaka arejee??
 
kwani nayo hii ni habari?ni haki yake kikatiba kujiunga na chama chochote cha kisiasa kama ilivyo kwangu na kwako,tatizo hapa ni playing field ya vyama hivi vya kisiasa Tanzania haiko level moja hapo ndio hasira yangu ilipo.
 
Arejee akitokea wapi? kwani aliwahi hama chama cha mapinduzi!...au ile kusema anamuunga mkono Lowassa kugombea Urais kwa kupitia Ukawa ndo mnasema aliondoka CCM? na je kwani alijiunga na chama gani mpaka arejee??
Kurejea siyo lazima awe alijiunga na chama kingine hata Dr Slaa anaweza kurejea chadema au kama Lipumba alirejea Cuf! Kuhama chama siyo lazima ubebe mizigo, kuhamisha fikra tu inatosha kama ambavyo Mghwila na Kitila wanavyotekeleza ilani ya CCM kwa sasa. Siasa ni taaluma ndio maana Kingunge alipoaga kwa kusema ' CCM imeishiwa pumzi' wengi hamkumuelewa!
 
Back
Top Bottom