babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
kwani alienda chama gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini alichosahau huko? Kama ni kweli basi atakuwa ni mwendokasiKuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Una ushabiki wa kipuuzi sana wewe mswahili kingunge alijiengua kwenye ukristo soon baada ya kujiunga kwenye mafunzo ya Itikadi ya kijamaa hyo form two ajitoe vipi ilhali starti la kusoma ilikua lazima uwe wa dhehebu hilo?Jifunze kuelewa na kujenga hoja kwa Mifano.
Mie nimekueleza kuwa Kingunge aliachana na Ukatoliki akiwa Kidato cha pili na hayo kayaeleza Mwenyewe 2010 kwny Press conference akipinga Tena Msimamo wa Kanisa Katoliki kutoa Waraka wa kuwaelekeza Wakristo namna ya kupiga kura.
Wewe Umeniita Mjinga na Muongo kwa kueleza Wapi na Lini alijiunga Kwny Ukomonist kuwa ni baada ya Uhuru Nyerere alipowapeleka USSR kusoma.
Nyakati za kujiunga na Ukomonist si lazima iwe ni tarehe aliyojitoa kwny Ukatoliki ni sawa na sasa tarehe ya kujitoa CCM si lazima iwe ni tarehe hizo hizo ndio awe kajiunga na Chama kingine!
Kama Yeye kasema Alijitoa akiwa kidato cha Pili na Mie nakuwa Mjinga kumuamini Kingunge badala ya Wewe basi ni Vizuri Kama utathibitisha kuwa aliondoka Tanzania akiwa Mkatoliki kwa kuwa huenda aliondoka akiwa so Mkatoliki na pia si Mkomonist japo alirudi akiwa Mkomonist.
Bawacha mna matatizo ya akili, hebu tafuteni mwanasaikolojia awasaidieHivi CCM hawaoni aibu Dar yote, Arusha, Iringa, Mbeya, Kilimanjaro, n.k kuchukuliwa na upinzani? Hadi Ikulu ipo chini ya UKAWA. CCM imebaki na Dodoma yake ya wenye elimu hafifu. Kwa serikali kuhamia Dodoma maana yake ni kupeleka wasomi Dodoma na maana yake zaidi ni kuhatarisha ushindi wa CCM hasa Dodoma mjini. Watch it!
Kingunge aiseee Hana njaa hiyo unayoifikiri na hata akirudi si kwasababu ya pesa. Mifugo yake inakula Milo mizuri kuliko baadhi ya watanzania na kulala pazuri kuliko hata unakozaniaHUYU MHENGA ANATANGATANGA TU...
NJAA MBAYA SANA
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu kwani kingunge ana wadhifa gani upinzani mpaka polepole aseme na ww hisia zako ziwe kingunge?Labda ndio Polepole anasema wanajiandaa kumpokea kiongozi mkubwa wa upinzani wiki hii(amesahau kuwa ni mwenzao bado)kumbe watanzania wanakumbuka kuwa hajawahi tioka na kuhamia chama chochotea!
Hivi kingunge kwani alihamia chama gani ?Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Kwani kingunge ni chama gani?Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Naona yale mamilioni aliyopewa na EL ili aishawishi kamati kuu CCM impitishe kugombea urais yameisha. Na sasa EL haendelei kumpa mapesa.Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Cha lowasaHivi kingunge kwani alihamia chama gani ?
Sawa na kutangaza kuwa paka mzee anarudi nyumbani baada ya kushindwa kuwinda panzi na wadudu mbugani!Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!