Una ushabiki wa kipuuzi sana wewe mswahili kingunge alijiengua kwenye ukristo soon baada ya kujiunga kwenye mafunzo ya Itikadi ya kijamaa hyo form two ajitoe vipi ilhali starti la kusoma ilikua lazima uwe wa dhehebu hilo?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hayo ya kujitoa Form two kayaeleza Mwenyewe Kwny Press conference 2010 alipokuwa akiponda Kanisa kujiingiza kwny Siasa kwa kutoa Waraka wa Uchaguzi na ndipo akaeleza historia yake hiyo Mie kazi yangu ilikuwa kunukuu, sasa Hilo la kwako mpaka Muda huu hujatoa chanzo cha Taarifa yako.
Halafu usiwe muongo kuwa Sharti la kusoma lilikuwa lazima uwe dhehebu Hilo Wapo Viongozi wengi tu waliosoma wakiwa si wa dhehebu Hilo hapa hapa Tanganyika
Mf. Abdulwaheed Sykes, Rashed Kawawa, Abdallah Saed Fundikra, Kitwana Kondo n.k Hawa nao Hilo Sharti lako la kuwa lazima awe Mkatoliki je halikuwaathiri?
Naona kila uki reply lazima unikejeli au kunitusi punguza jazba huu ni Mjadala wa kawaida.