Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

Ni kweli mawazo ya kingunge ni sahihi kichama kwa sasa kuliko binadamu yeyote aliyewahi kuumbwa chini ya jua. Yeye ni miongoni mwa watu watatu walio-design na kuandika katiba ya CCM, anaielewa katiba sawa na mimi ninavyoielewa Biblia.

wewe ulishiriki kuandika biblia?
 
Asante Kingunge. Haki hupewi mezani, bali ni kuipigania(sio lazima kwa ngumi) bali hoja zenye kuzingatia sheria,kanuni. Hata ile ya Dunia nzima inasema; usimuhukumu mtu pasi kumsikiliza utetezi wake kwanza!Nilikuwa simkubali sana EL vile niliaminishwa kuwa Fisadi,Gamba,Rushwa etc (ingawa rekodi ya utedaji ni chombo)lkn kwa hili la kumnyima haki ya msingi ya binadamu, mmmh..., najitoa kwenye hiyo laana!
 
Incredible! Nimeipenda hii taarifa.
Kuna watu fulani majuzi tu walikuwa wanaishabikia CCM kuwa eti iko vizuri kimkakati na kuwa eti wamemaliza mambo ya kupata mgombea vizuri/salama. Wengine wetu hatukuona hayo yaliyowafanya waanzisha mada za kuisifia CCM kujitokeza kwa wingi hapa jukwaani. Tuliwaonya lakini hawakusikia, sasa wajionee tamthilia kamili.

Sasa huu ni mwanzo tu, time will tell......
 
Mzee wetu, mambo ya mchakato wa kumpata mgombea yaliishia Dodoma. Unawaongezea wengine machungu tu. Kwa mtu mzima, unatakiwa kuwafariji wote ambao hawakufika kileleni badala ya kuegemea upande mmoja kama ufanyavyo sasa. Kazi iliyobaki kwa wanaccm wote na mzee kama wewe ni kumnadi Dkt Magufuli. Mengine haya ni historia mzee wetu kama siyo porojo. Tuangaze mbele tu. Tukianza kufukua makaburi hutakuwa salama na hutakuwa na hoja za kujibu wewe binafsi tangu ulipowakilisha kundi maalumu la wachawi katika BMK, kupitishwa kwake na mengineyo. Kwa hiyo turejea kwenye hoja ya msingi ambayo ni kumpigia debe mgombea wa chama chako.
 

Hawaijui siri hiyo.

Makofuli ataendelea kunawa
 
Huyu alianza kufanyakazi na RTD miaka hiyo 1960's akaenda kusoma Urusi, aliporudi akajipa jina la KINGUNGE NGOMBALE MWILU kabla alijulikana kama STEVEN NGOMBALE MWILU Watu wa aina hii wanatabia ya kubadili kauli zao. Kuwa makini na kauli zake.
 
Informer, mbona hiki kikao kilikuwa cha siri sana. Nashangaa kuona huku taarifa ya kikao baadala ya mwaliko wa kikao. Hujaonyesha mazingira gani kimefanyika!! Kilikuwa na wateule tu???

Naweza sema hii inaweza ikawa taarifa ya kupikwa na wale wenzetu wanaotaka kuonyesha kuwa Edo baado ni msafi.

Binafsi sijawahi kuona taarifa ya kisiri au waliogopa kukutana na rungu la wale jamaa?

Mzee anataka kutuaminisha kuwa mfuu anaweza kuyashitaki maradhi yaliyomuua.

 


mbona azam TV walionyesha?
 
Huenda hili la Kingunge ni "Kidole cha Mungu"!
Katika watu wote ndani ya CCM huyu ndiye nilidhani hawezi katu kutamka anayoyasema hapo. Ni ajabu kwa kweli!
 
Umafia uliofanyika kwenye Bunge la Katiba ndiyo huo huo uliofanyika Dodoma. Mapendekezo ya wananchi wengi yalikataliwa na kuwekwa mengine. Kingunge alishiriki sana katika hilo. Leo kipenzi chake AMEKATWA, anaona hakutendewa haki. Mkuki kwa nguruwe..............!
 
asahau kupata mdandanda wa stand ya ubungo hyo m communist atakufa njaa
 
Ni kweli ndugu. CCM wana uzoefu na utamaduni wa kuvunja sheria, sasa wamefika "full cycle" wamevunja za kwao tena za ndani kabisa!
 
Jambo moja nimekubaliana na Mzee Ngombale ni kwamba anasema mteule Magufuli hakushiriki katika kitengo cha kuwachafua wengine, Hilo na hasa linapotoka kinywani mwa mtu kama Mzee Kingunge linadhihirisha kwamba hakika Magufuli hakuwa na kundi wala hakukuwa na team Magufuli. Sasa basi ni wakati wa wana CCM wote kumuunga mkono
 
Sasa aone utamu wa kuvuruga taratibu na mchakato.

Kingunge ulishiriki kuvuruga mchakato wa katiba pendekezwa... Sasa usilalamike, muosha uoshwa.

Sina mbavuu......
 
Huyu mzee ajipumzishe tu maaana anapoelekea ni kujishushia heshima yake bure kuna akina benja,mwinyi kwann wao hawakulisemea hili kwann yeye tu mara ccm isipompitisha lowasa itaanguka leo tena analeta hadithi zingine mzee wakati wa kuachana na siasa ni sasa bora ajipumzishe tu kwa aman!
 

Alisema patachimbika, vipi lini patachimbika
 
Team Lowasa ni pamoja na Karamagi ,Chenge ,Rostam,Kingunge etc.....Babu hapo vipi tungeponaje?..Tatizo mlijipanga sana kutuibia rasilimali zetu .......tumieni vyanzo vingine kurudisha hela zenu!
 
Mtu ukipewa pesa lazima uitolee maelezo ya matumizi. Ndilo analofanya Ngombale. Ana justify pesa ya Lowassa.


kwa hiyo mama yako angepewa pesa angefanya hivyo hivyo kama kingunge ?au angetumia njia nyengine ku justify..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…