Tetesi: Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Taarifa nilizopata ni kuwa Mzee Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM.Mimi kama mwana CCM ndaki ndaki sitaki warudi.

Walitutelekeza vitani wakatuachia tuhangaike na CCM peke yetu.Nakiomba chama kisikubali kabisa hao watu warudi chamani tutakisuka upya wenyewe.

We dont need them.
 
hao wakirudi ujue ni mashushu wametumwa na eddo. ccm kuweni makini.....



Hao mashushu mbona walishindwa kumsaidia fisadi Lowasa kushinda Uraisi? Na tena walihamia kwa fisadi Lowasa wakati bado wabichi kabisa CCM iweje waweze leo hii muda umeshapita? Acha kuota!
 
Wale ni watu wanao jitambua hivyo hawawezi kurudi kwenye nyumba inayo nuka rushwa
 
Ndugu wewe ukiwa CCM na..January Makamba....atakuwa nani
 
Chama kimeoza kwa rushwa na ufisadi
 
Samehe saba mara sabini
 
Wale ni watu wanao jitambua hivyo hawawezi kurudi kwenye nyumba inayo nuka rushwa

wamesoma alama za nyakati, hata wasingeondoka ccm walikuwa hawahitajiki tena. CCM ina watu wanaojitambua ambao hata wakipata misukosuko hawahami. Watu kama mzee Malecela, Warioba, Cleopa msuya, Salim Hamed Salim n,k. Kuna watu wako selfish kama hao kina kingunge, mwapachu, luwasa, mahanga n.k hawana msaada kwa chama zaidi ya kuwa wabomoaji. Kwanza si wameshaenda upinzani je chama kimekosa ushindi?? majibu unayo mwenyewe ,,,,,,
 
Kama unajua hesabu ya kutoa na kujumlisha utakuwa na majibu
 
Kule walienda tu kusaidia, wanataka kurudi home.
 
Warudi wamesahau nini kwenye hilo jalala?Au upo ndotoni
Wakikubali kuchapwa viboko ishirini hadharani hakuna shida...
 
Samehe saba mara sabini,walikuwa hawajui walitendalo.Duh halafu yule mmoja umri umeenda hivi kweli alikuwa haoni upepo ulivyokuwa ukivuma ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…