mimi huwa nashangaa nikimwona kijana anashabikia ccm,..
tenaa msomi,..nashangaa sanaaa,..
kazi ya msomi ni kuhoji,kudadisi na kupambanua mambo na kuelimisha wananchi ukweli na uwazi wa mambo,..
fisiem inaendesha nchi kwa misingi mibovu,madhaifu mengi yanafahamika,..
kubwa ni kutosimamia rasilimali za nchi vizuri
na kupelekea taifa kuwa maskini pamoja na rasilimalui zote tulizonazo,...
uchafu unaofanywa na fisiem uko wazi,.machafu yote yapo open kabisa,.
ssasa ewe msomi faida yako ni nini ndani nchii hii,.
tukiwa shule tumeona na kusoma jinsi viongoz wa africa walivyonatamaa na
kupelekea kurithishana madaraka,..ili kulindana
mf;
hussein mwinyi,akina ridhi1,akina khalfani,akina january makamba,nnauye vuvuzela bado mtz husomi alama za nyakati2???,..
chukia ccm,.kma unajielewa
tunahitaji kumove from where we are,.
kwa kubadili system ya uongozi na,..
hii system tunaoweza kubadili system ni mimi nawewe wasomi tukishirikiana kuelimisha wasiosoma,..
kubadisha system,..HIVI KIJANA ANAKUSHINDA KINGUNGE WA ZAMANI
KIFKRA.,..yeye aliona SICM sio sahihi nchi inaangamia..leo mnamkejeliiii
Badilika