Tetesi: Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM

Tetesi: Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM

Kama unajua hesabu ya kutoa na kujumlisha utakuwa na majibu

sasa kwanini wanataka kurudi au walipoenda huko kijiwe kigumu nini? walifikiri mambo mepesimepesi tu, Mbowe alishawaambia ukitoka ccm na kuja upinzani hatugawani vyeo ila ni kushambulia serikali tu iliyoko
 
Taarifa nilizopata ni kuwa Mzee Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM.Mimi kama mwana CCM ndaki ndaki sitaki warudi.

Walitutelekeza vitani wakatuachia tuhangaike na CCM peke yetu.Nakiomba chama kisikubali kabisa hao watu warudi chamani tutakisuka upya wenyewe.

We dont need them.
si walitutekeleza vitani tu na kutuacha tuhangaike na ccm peke yetu, bali walitugeuka na kuungana na adui zetu na kuanza kupigana nasi. katika historia ya chama wabakie kuwa wasaliti. hatuwahitaji.
 
Samehe saba mara sabini,walikuwa hawajui walitendalo.Duh halafu yule mmoja umri umeenda hivi kweli alikuwa haoni upepo ulivyokuwa ukivuma ?

Wote wamezeeka.Kingunge ana miaka 86 alizaliwa 1930 wakati Mwapachu ana miaka 74 alizaliwa 1942.
Kwa hali ya kawaida walitakiwa tu watulie washukuru chama na serikali ya CCM ilipowafikisha maana wamekulia humo wakazeekea humo na wameneemekea humo.Anyway nafikiri si watu wazima wote vichwani wako sawa kuna wale wengine wanaitwa WATU WAZIMA HOVYO.
Cha msingi tunamshukuru Mungu tuliobaki CCM tulipambana hadi kikaeleweka na wao somo walilopata na Lowasa wao ni kuwa CCM ni taasisi sio mtu au watu fulani hata wawe na umaarufu vipi.
 
Kama wamechoka chadema waende cuf maana kwa kasi ya ccm ya magufuli kamwe hawataendana nayo watapasuka msamba tu tena wakome waendelee na fisadi lao.
 
Kama unajua hesabu ya kutoa na kujumlisha utakuwa na majibu

sasa kwanini wanataka kurudi au walipoenda huko kijiwe kigumu nini? walifikiri mambo mepesimepesi tu, Mbowe alishawaambia ukitoka ccm na kuja upinzani hatugawani vyeo ila ni kushambulia serikali tu iliyoko
 
Hao mashushu mbona walishindwa kumsaidia fisadi Lowasa kushinda Uraisi? Na tena walihamia kwa fisadi Lowasa wakati bado wabichi kabisa CCM iweje waweze leo hii muda umeshapita? Acha kuota!
 
Attachments

  • tmp_14785-2-1-1543415109.jpg
    tmp_14785-2-1-1543415109.jpg
    12.1 KB · Views: 31
hahahah
Taarifa nilizopata ni kuwa Mzee Kingunge na Mwapachu wanata kurudi CCM.Mimi kama mwana CCM ndaki ndaki sitaki warudi.

Walitutelekeza vitani wakatuachia tuhangaike na CCM peke yetu.Nakiomba chama kisikubali kabisa hao watu warudi chamani tutakisuka upya wenyewe.

We dont need them.
hahahahahahahahahahah kamanda umenifanya nicheke mpaka mbavu imevimba. warudi kwenye chama kilichoishiwa pumzi. khaaa !wanataka kufia kule. watatoa wapi pumzi. chama ambacho hakijafanya lolote kwa miaka 50 kulingana na madai yao.
mimi nawaambia kwanza wanatakiwa warudishe mahela ya wananchi waliokuwa wakilipwa. kwa sababu wanakiri wwnyewe hawaku perform wala deliver as per the countrys expectation. kisheria kabisa wanatakiwa warudishe chenji. sana sana walikuwa wakijinufaisha wao na familia zao.nasema ccm msikubali. nasisi chadema asilia tulishasema group la mafisadi lililotoka ccm tunalitaka liondoke kabla nguvu ya umma haijatumika. tena haraka sana
 
sasa kwanini wanataka kurudi au walipoenda huko kijiwe kigumu nini? walifikiri mambo mepesimepesi tu, Mbowe alishawaambia ukitoka ccm na kuja upinzani hatugawani vyeo ila ni kushambulia serikali tu iliyoko
Huyo mleta uzi hajui nini ameandika na ni mtu wa kuokoteza okoteza
 
Kama wamechoka chadema waende cuf maana kwa kasi ya ccm ya magufuli kamwe hawataendana nayo watapasuka msamba tu tena wakome waendelee na fisadi lao.
Nakuonea huruma sana maana utafunga buti hadi miguu iote sugu
 
kwan walikuwa wapi ndio warudi? hawa walisha staafu siasa hawapo kwenye chamachochote
 
walindoka kwa mbwembwe nakujidai eti ccm cio mamangu leo kip wamisahau,
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kutamani kuwa mwana ccm
ok vyama vipo vingi mno tuambie chama chenye afadhali kwa sasa badala ya ccm na sababu za kutushawishi kwenda huko. tupe mwongozo kamanda mmawia maana tushapigika vya kutosha
 
walindoka kwa mbwembwe nakujidai eti ccm cio mamangu leo kip wamisahau,
hahaha walisahau kuwa ccm kumbe ni mama yao aliyewalea mpaka wamefika umri wa kustaafu na baadae kuanza kung'oka meno.
 
hahaha walisahau kuwa ccm kumbe ni mama yao aliyewalea mpaka wamefika umri wa kustaafu na baadae kuanza kung'oka meno.
Ccm wala siyo mama yangu wala baba yangu ...by mwalimu jk nyerere,wewe ni nani ndani ya ccm?
 
Back
Top Bottom