Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mwapachu alivyotoka ccm aliitwa mzigo na makapi sasa karudi ccm ayari amekuwa LULU na ALMASI?kweli ccm ni kichaka cha sanaaMajibu yameshaanza kupatikana very soon jibu kamili litapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwapachu alivyotoka ccm aliitwa mzigo na makapi sasa karudi ccm ayari amekuwa LULU na ALMASI?kweli ccm ni kichaka cha sanaaMajibu yameshaanza kupatikana very soon jibu kamili litapatikana.
walivohamia ukawa awakuwa mashushu wa kutumwa na ccm ila wanaporudi ndo wawe mashushu wa edo yale yale tu kwetu kizur kwao kibayahao wakirudi ujue ni mashushu wametumwa na eddo. ccm kuweni makini.....
Ndio wameanza kurudi maana hakuna namna sasa..wabak huko huko watuache na ccm yetu
Samahani una miaka mingapi? We hujawajua CCM subiri siku chache zijazo ndio utazidi kushangaaa..Mwapachu alivyotoka ccm aliitwa mzigo na makapi sasa karudi ccm ayari amekuwa LULU na ALMASI?kweli ccm ni kichaka cha sanaa