ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Kama unajua hesabu ya kutoa na kujumlisha utakuwa na majibu
si walitutekeleza vitani tu na kutuacha tuhangaike na ccm peke yetu, bali walitugeuka na kuungana na adui zetu na kuanza kupigana nasi. katika historia ya chama wabakie kuwa wasaliti. hatuwahitaji.Taarifa nilizopata ni kuwa Mzee Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM.Mimi kama mwana CCM ndaki ndaki sitaki warudi.
Walitutelekeza vitani wakatuachia tuhangaike na CCM peke yetu.Nakiomba chama kisikubali kabisa hao watu warudi chamani tutakisuka upya wenyewe.
We dont need them.
Samehe saba mara sabini,walikuwa hawajui walitendalo.Duh halafu yule mmoja umri umeenda hivi kweli alikuwa haoni upepo ulivyokuwa ukivuma ?
Kama unajua hesabu ya kutoa na kujumlisha utakuwa na majibu
Hao mashushu mbona walishindwa kumsaidia fisadi Lowasa kushinda Uraisi? Na tena walihamia kwa fisadi Lowasa wakati bado wabichi kabisa CCM iweje waweze leo hii muda umeshapita? Acha kuota!
hahahahahahahahahahah kamanda umenifanya nicheke mpaka mbavu imevimba. warudi kwenye chama kilichoishiwa pumzi. khaaa !wanataka kufia kule. watatoa wapi pumzi. chama ambacho hakijafanya lolote kwa miaka 50 kulingana na madai yao.Taarifa nilizopata ni kuwa Mzee Kingunge na Mwapachu wanata kurudi CCM.Mimi kama mwana CCM ndaki ndaki sitaki warudi.
Walitutelekeza vitani wakatuachia tuhangaike na CCM peke yetu.Nakiomba chama kisikubali kabisa hao watu warudi chamani tutakisuka upya wenyewe.
We dont need them.
Huyo mleta uzi hajui nini ameandika na ni mtu wa kuokoteza okotezasasa kwanini wanataka kurudi au walipoenda huko kijiwe kigumu nini? walifikiri mambo mepesimepesi tu, Mbowe alishawaambia ukitoka ccm na kuja upinzani hatugawani vyeo ila ni kushambulia serikali tu iliyoko
Ni machizi tu hayoCCM Mnajitekenya na kucheka wenyewe
Nakuonea huruma sana maana utafunga buti hadi miguu iote suguKama wamechoka chadema waende cuf maana kwa kasi ya ccm ya magufuli kamwe hawataendana nayo watapasuka msamba tu tena wakome waendelee na fisadi lao.
ok vyama vipo vingi mno tuambie chama chenye afadhali kwa sasa badala ya ccm na sababu za kutushawishi kwenda huko. tupe mwongozo kamanda mmawia maana tushapigika vya kutoshaMtu mwenye akili timamu hawezi kutamani kuwa mwana ccm
hahaha walisahau kuwa ccm kumbe ni mama yao aliyewalea mpaka wamefika umri wa kustaafu na baadae kuanza kung'oka meno.walindoka kwa mbwembwe nakujidai eti ccm cio mamangu leo kip wamisahau,
Heri ya kuwa hata NLD kuliko hayo majini ccmok vyama vipo vingi mno tuambie chama chenye afadhali kwa sasa badala ya ccm. tupe mwongozo kamanda mmawia
Ccm wala siyo mama yangu wala baba yangu ...by mwalimu jk nyerere,wewe ni nani ndani ya ccm?hahaha walisahau kuwa ccm kumbe ni mama yao aliyewalea mpaka wamefika umri wa kustaafu na baadae kuanza kung'oka meno.