Tetesi: Kingunge na Mwapachu wanataka kurudi CCM

Majibu yameshaanza kupatikana very soon jibu kamili litapatikana.
Mwapachu alivyotoka ccm aliitwa mzigo na makapi sasa karudi ccm ayari amekuwa LULU na ALMASI?kweli ccm ni kichaka cha sanaa
 
Mwapachu alivyotoka ccm aliitwa mzigo na makapi sasa karudi ccm ayari amekuwa LULU na ALMASI?kweli ccm ni kichaka cha sanaa
Samahani una miaka mingapi? We hujawajua CCM subiri siku chache zijazo ndio utazidi kushangaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…