Uchaguzi 2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

Uchaguzi 2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

Msanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Kwani nae anakunywa Konyagi na kuvuta bangi kama jamaa zako?
 
Msanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Kingwendu hamuwezi jafo tena chama lenyewe cuf
 
Kama kweli atagomba basi ni "pandikizi"
Hilo mbona ni wazi kabisa
FB_IMG_1592288501263~2.jpg
 
Hili ni kosa la CCM kuufanya ubunge uoneka ni sawa na u- class-monitor, na hasa kwa ile tabia yao kukubali miswaada kwa style yao ya โ€˜ndiyoooooโ€™ bila hata kuielewa miswaada, sasa kila mtu anataka ubunge
 
Back
Top Bottom