Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😆😀 hii sikuwahi kuisikiaila UKAWA Mungu anawaona..2015 mlikuwa mnamsifia kingwendu eti ana degree ya uhasibu.lol!!
Mkuu, umenichekesha sana aisee.Alikuwa wa cuf na alishinda,akaomba ruhusa kwenda kukojoa [emoji23].kurudi akakuta watu washapindua meza[emoji23]
alitoa lile jicho lake kama puto[emoji23]
Kwani CUF bado ipo?Kingwendu Bado Ana mwamini Pro. Lipumba ?
Hahahaaaa....... Chadema wana vituko sana!ila UKAWA Mungu anawaona..2015 mlikuwa mnamsifia kingwendu eti ana degree ya uhasibu.lol!!
Hahahaaaa....... Chadema wana vituko sana!ila UKAWA Mungu anawaona..2015 mlikuwa mnamsifia kingwendu eti ana degree ya uhasibu.lol!!
Duh,,,!!.yani 2015 alitambulika kama Profesor Kingwendu?ila UKAWA Mungu anawaona..2015 mlikuwa mnamsifia kingwendu eti ana degree ya uhasibu.lol!!
Tafuta nyuzi mkuu, zipo humu!Duh,,,!!.yani 2015 alitambulika kama Profesor Kingwendu?
Acha unafiki, kila jambo kwako mfano ni Chadema? Aligombea kupitia tawi LA ccm liitwalo CUFHahahaaaa....... 2015 alikuwa mgombea wa Chadema!
Kwani kuna tofauti kati ya UKAWA na Chadema?!Acha unafiki, kila jambo kwako mfano ni Chadema? Aligombea kupitia tawi LA ccm liitwalo CUF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alikuwa wa cuf na alishinda,akaomba ruhusa kwenda kukojoa [emoji23].kurudi akakuta watu washapindua meza[emoji23]
alitoa lile jicho lake kama puto[emoji23]
Jamaa alishinda kabisa.Kigwendu uchaguzi uliopita alikosa kosa ubunge ,msimchukulie poa
Jamaa alishinda kabisa.
Ila akakubali kuliuza jimbo kwa mpunga mrefu.
Alishinda kwa kura nyingi sana akauza jimbo saivi anamiliki pradoKigwendu uchaguzi uliopita alikosa kosa ubunge ,msimchukulie poa
Mxenge kabisa alikula 150m alikuwa na videni vya kampeni akauza kagari. zake ila saivii mtamu ana prado,land cruiser ya kizamani siyo haba na kamjengo kazuri tuJamaa alishinda kabisa.
Ila akakubali kuliuza jimbo kwa mpunga mrefu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila UKAWA Mungu anawaona..2015 mlikuwa mnamsifia kingwendu eti ana degree ya uhasibu.lol!!