Uchaguzi 2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

Uchaguzi 2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

Hili ni kosa la CCM kuufanya ubunge uoneka ni sawa na u- class-monitor, na hasa kwa ile tabia yao kukubali miswaada kwa style ‘ndiyooooo’ bila hata kuielewa miswaada, sasa kila mtu anataka ubunge
Usisahau kingwendu ameelimika vizuri tu.
 
Islamaabaaad! Afghanistan....

Everyday is Saturday....................... 😎
 
Sku zike alishinda akaanza kushangilia mtaani, Wazee wa bao la mkono wakautia ushindi kwao.
Msanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
 
Chama chake hakimbebi aahamie ACT Wazalendo!
 
Kwa Jaffo ni ngumu sana,uchaguzi ulioopita Jaffo alikuwa hakulikani sana,ila kwa sasa Jaffo anajulikana mno na ni kati ya mawaziri wazuri awamu hii
Waziri mzuri haimaanishi yeye ni Mbunge mzuri
Wana kisarawe badilisheni chama muone na upande mwingine ukoje chama kile kile kila siku
 
Kwani CUF bado ipo?
Ipo kidizaini
FB_IMG_1592288501263~2.jpg
 
Back
Top Bottom