Uchaguzi 2020 Kingwendu atia nia ya ubunge Kisarawe, aapa kumng'oa Jaffo!

Msanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Kwani nae anakunywa Konyagi na kuvuta bangi kama jamaa zako?
 
Huyo hizo pesa za kampeni anipe mm
 
Msanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo

Maendeleo hayana vyama!
Kingwendu hamuwezi jafo tena chama lenyewe cuf
 
Hili ni kosa la CCM kuufanya ubunge uoneka ni sawa na u- class-monitor, na hasa kwa ile tabia yao kukubali miswaada kwa style yao ya β€˜ndiyooooo’ bila hata kuielewa miswaada, sasa kila mtu anataka ubunge
 
8000 siyo haba safari hii atazidisha mara kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…