Usisahau kingwendu ameelimika vizuri tu.Hili ni kosa la CCM kuufanya ubunge uoneka ni sawa na u- class-monitor, na hasa kwa ile tabia yao kukubali miswaada kwa style ‘ndiyooooo’ bila hata kuielewa miswaada, sasa kila mtu anataka ubunge
Tuma video tuoneMsanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
Na kwenye kampeni anajipambania mwenyeweKigwendu uchaguzi uliopita alikosa kosa ubunge ,msimchukulie poa
Msanii Kingwendu amesema kwa mara nyingine atagombea ubunge wa Kisarawe kupitia chama chake cha CUF na safari hii ameapa kumng'oa mshindani wake mkuu Suleiman Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....... 2015 alikuwa mgombea wa Chadema!
Hahahaaaa...... Kwani wagombea wa Lowassa walikuwa tofauti na Chadema?Bwashee acha uongo
Waziri mzuri haimaanishi yeye ni Mbunge mzuriKwa Jaffo ni ngumu sana,uchaguzi ulioopita Jaffo alikuwa hakulikani sana,ila kwa sasa Jaffo anajulikana mno na ni kati ya mawaziri wazuri awamu hii
Alishinda kwa kura nyingi sana akauza jimbo saivi anamiliki prado
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Jafo ni mzito kwenye nyunguHuu ndo uhuru wa demokrasi.acha agombee,uchaguzi utakuwa huru na wa haki akijipanga vizuri huwenda akashinda.Jafo ni mwepesi sana.[emoji23]
Wapinzani muungeni mkono!Jafo ni mzito kwenye nyungu
Ipo kidizainiKwani CUF bado ipo?
Ni kama EAC na Tanzania. Huwezi kusema Kenyatta ni wa Tanzania kwa sababu Kenya na TZ ni member was EAC!Kwani kuna tofauti kati ya UKAWA na Chadema?!