Wewe mjini WA kuja mkuukinje ndo nani huko tiktok
Team sapoti ndoa njooni mpangue hii hoja.Kinje kama kinje kaongea
Akiongea na Radio moja pale SA ,
Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.
" Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza kua mtu Bora kwako "
Kinje katolea mfano matajiri wanavyopoteza utajiri wao dunia nzima hasa kwa watu ambao hawakuchangia wala kuhusika chochote kwenye utafutaji.
Kasema Yuko makini Sana na kizazi hiki cha wanawake matapeli wa Mali za wanaume.
Baadae Nitaweka mahojiano yake yote mpate kusikiliza.
Kashtuka kabla ya kufaYupo Sahihi kastuka mapema.
Ewe mwanaume muhongaji, unaye honga elfu 10 unapoteza tofali 10....
Ni classmate wa Ushimenkinje ndo nani huko tiktok
Ana utitiri wa pesa ni transporter wa nchi za kusini, kiufupi ni mjanja sana.Kashtuka kabla ya kufa
This has nothing to do with his age, literally wanawake wengi wapo hivyo. Regardless umri unaweza ukapata mwanamke golddigger lakini ukiwa na bahati(bahati ya mtende) unaweza ukapata mwanamke ambaye hajajia ulichonacho ila kwa sababu zozote zile mki-divorce jiandae kugawana naye ambavyo hakuangika nawe kwenye kuvitafuta. It is what it is dude.Kwa umri wake lazima apendewe pesa hakuna namna
Kujilinda ni haki yake akiteleza anapoteza Kila kitu
Ni kamanda wa M23...🙄kinje ndo nani huko tiktok
Ex wa Kylin.kinje ndo nani huko tiktok
Hili Jina ndo naliona hapa! Miaka ya nyuma watu wa moshi mjini watakuwa washalisikia hili jina, lilikuwa la "gasho" maarufu sanakinje ndo nani huko tiktok
Naongezea ukihonga Elfu 10 unapoteza LUKU Units 28 wa GePG.Yupo Sahihi kastuka mapema.
Ewe mwanaume muhongaji, unaye honga elfu 10 unapoteza tofali 10....
Kinje kitile Ngwale ushamsahau Familiar, wakati ulimsoma ukiwa shuleni.kinje ndo nani huko tiktok