- Thread starter
- #41
Anasema wanalia shida Tu , kasema yeye hayoHalafu kwa utulivu gani alionao Kinje? Zuchu sio king'ang'anizi kumzidi Anitha lakini yalimshinda kajiondokea zake.
Haya waseme wengine sio Kinje, atulie azeeke kwa amani mapenzi aachie wengine.