Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Mwaka jana
Okay ..alioa kabinti kadogo dogo( nadhani humu ipo) alioa fasta baada ya K lyn kumtoroka.kavalishwa leo pete kesho k lyn akasepa sauzi .bas akamuoa anita ..few yrs anita akawa amedumbukizwa kwenye uraibu wa madawa ya kulevya na pombe kwa sana ...akachakaa mtoto wa watu...ila now atleast yuko poa...! Fukunyua utayakuta
 
Kinje kama kinje kaongea
Akiongea na Radio moja pale SA ,
Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.
" Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza kua mtu Bora kwako "
Kinje katolea mfano matajiri wanavyopoteza utajiri wao dunia nzima hasa kwa watu ambao hawakuchangia wala kuhusika chochote kwenye utafutaji.
Kasema Yuko makini Sana na kizazi hiki cha wanawake matapeli wa Mali za wanaume.
Baadae Nitaweka mahojiano yake yote mpate kusikiliza.
The legend has spoken
 
Kastuka mapema wapi mtu ana zaidi ya 55 keshapigwa vya kutosha. Kashtuka tayari uzee huo..
kwenye hela hakuna uzee, binti anaweza kujichanganya achume mali. Kwa umri huo ni bora tu aachane na suala la kupiga kambi la kudumu mpaka kifo. Apate wa temporary tu anampa za sabuni asepe, kesho aje wa muda mfupi tena nae ale ya mboga aondoke bila kupiga kambi la kudumu
 
Umri ukishaeenda miaka 45 hadi 50 ya nini kuhangaika kuoa? Unastaafu tu mapenzi ili uhifadhi afya na nguvu za kufika miaka 100 na zaidi
 
Back
Top Bottom