Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Ubungo stand ndiyo ilikua inawapa jeuri ya pesa,hawajawai kua na pesa yao kama yao!!
Bhaeleze watoto wa 2000's..kuna mmojahuko juu kasema Kinje ana hela kama utitiri..lol angesema zamani sawa kwanini Nitha kamuacha kisa kipi? Kaona anaendekeza umalaya no future...wakaanza kutunishiana misuli.toka serikali toka wapokonye stand ikawa chali
 
Nimeamini dunia ni ndogo sana. Kumbe watu wa moshi mjini enzi hizo miaka ya 2000 tuko hapahapa.

Kinje alikuwa mbabe sana na rafiki yake mkubwa alikuwa mama yangu mdogo ambaye ni marehemu kwa sasa.

Walikuwa wakija kwetu mama yangu anawafukuza sababu ya Kinje ila baadaye akazoea akawaacha tu.

Umenichekesha kwa ule mwendo wake, nilikuwa nashangaa sana maana sikuwa najua kwamba mwanaume anaweza kuwa na mambo ya kike!
😂😂😂 Tupo hapa wazee wa enzi hizo majengo,town,pasua, ccp, kcmc, shant mpk na rau huko!!
 
Ndivyo ilivyo, ukipgwa na mishale mingi. Vijana wana la kujifunza Kwa wakubwa zao.
 
Kinje kama kinje kaongea

Akiongea na Radio moja pale SA

Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.

"Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza kua mtu Bora kwako"

Kinje katolea mfano matajiri wanavyopoteza utajiri wao dunia nzima hasa kwa watu ambao hawakuchangia wala kuhusika chochote kwenye utafutaji.

Kasema Yuko makini Sana na kizazi hiki cha wanawake matapeli wa Mali za wanaume.
Baadae Nitaweka mahojiano yake yote mpate kusikiliza.
Na mwamba anawanyoosha tokea enzi zile za Miss Tz ya Lundenga, yaani hawa Mamiss kawatafuna sana.
 
Back
Top Bottom