Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje kama kinje kaongea
Akiongea na Radio moja pale SA ,
Kasema kwa sasa anaangalia mambo yake kwani kuweka malengo kwa wanawake ni kupoteza muda
Amesema kwa sasa wanawake wamekua na tamaa ya Mali na mafanikio ya haraka kuliko chochote.
" Fikiria mtu anajiuza apate pesa unadhani huyo anaweza kua mtu Bora kwako "
Kinje katolea mfano matajiri wanavyopoteza utajiri wao dunia nzima hasa kwa watu ambao hawakuchangia wala kuhusika chochote kwenye utafutaji.
Kasema Yuko makini Sana na kizazi hiki cha wanawake matapeli wa Mali za wanaume.
Baadae Nitaweka mahojiano yake yote mpate kusikiliza.
Dah!
 
Hili Jina ndo naliona hapa! Miaka ya nyuma watu wa moshi mjini watakuwa washalisikia hili jina, lilikuwa la "gasho" maarufu sana
Kumbe unamjua yule Kinje wa mtaa wa chini? Nilikuwa mdogo sana na shoga wa kwanza kumjua alikuwa huyo Kinje.

Alikuwa rafiki wa mama zangu wadogo Sharifa, Shalife yule Miss na Mwanaisha na wawili hapo wameshafariki sijui kama Sharifa wa Bibi Taabu kama bado yupo.

Umenikumbusha mbali mnooo!
 
After soo many rejections from women na kibamia chake no wonder amekua na perspective hio
Sasa ukidate na mzee ana miaka 60 utampendea nini zaidi ya pesa? Hebu tuwe serious kidogo😀
Halafu kwa utulivu gani alionao Kinje? Zuchu sio king'ang'anizi kumzidi Anitha lakini yalimshinda kajiondokea zake.

Haya waseme wengine sio Kinje, atulie azeeke kwa amani mapenzi aachie wengine.
 
Back
Top Bottom