Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Hizo ofisi ziko equipped for a rapid emergency response?

Maana yawezekana hizo ofisi ni za bureaucrats tu na hazina muundo na uwezo wa rapid response.

Ukifuatilia hizi video unagundua kwamba vyombo vyetu huwa havipo tayari muda wowote na popote kupambana na matukio yoyote.



Tanzania nchi ya amani lakini wehu wachache hawakosekani popote.... na kuwa tayari kupambana na matukio kama haya ni muhimu sana

Yaani hapa kama vile wamfufue waanze kumchapa upyaaaa
 
My take:
Either ni "Movie" au ni "Rehearsal".
Hiyo kona hapo--Kulia ukielekea Salender, ni moja kati ya kona zinazolindwa sana kwenye "nji hii",
Ngoja nijinyamazie mimi
 
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?

Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic


View attachment 1907510
View attachment 1907511


View attachment 1907519


Hii ni developing news…

Kuna mtu mmoja, kapigwa risasi na kuanguka katikati ya barabara
View attachment 1907602
View attachment 1907621
View attachment 1907645View attachment 1907646
Huyu anadaiwa kauawa.
Yaani mtu anatoka kusikojulikana mchana kweupe anaenda kituo cha polisi na kupora silaha kwa ulaini kisha anaanza vitisho vya kigaidi hadharani kimsingi usalama umepungua sana watu wanavamiwa ovyo.

Huyo hakuwa peke yake kuna watu wengine walimtuma kama chambo tu


Imarisheni makao makuu Dodoma kwa usalama zaidi JPM hakukurupuka kuharakisha kupeleka huko.

Viongozi wakuu acheni kuwatupia lawama jeshi la polisi kwa kuchelewa upelelezi wakati hakuna rasirimali za kutosha kufanikisha uchunguzi kwa muda mwafaka. Upelelezi hautumii akili za malaika ila hutegemea mahusiano na watu pamoja na nyenzo za kubaini na kutafsiri taarifa za ushahidi. Polisi hawajibiki kupeleka kesi mahakamani kabla DPP hajapitia mafaili ya uchunguzi kwa mizania ya ushahidi uliotolewa kisha anashauri au kuagiza kesi ipelekwe mahakamani au ushaihidi zaidi utafutwe hivyo kuwalaumu polisi sio sahihi wanakatishwa tamaa kiasi ambacho kinawapa nafasi wenye nia OVU kuwahujumu kama ilivyotokea leo huko kwenye viunga vya daraja la Salenda
 
Ukifuatilia hizi video unagundua kwamba vyombo vyetu huwa havipo tayari muda wowote na popote kupambana na matukio yoyote.

View attachment 1907720

Tanzania nchi ya amani lakini wehu wachache hawakosekani popote.... na kuwa tayari kupambana na matukio kama haya ni muhimu sana
Vyombo vyetu vipo tayari muda wote kukamata wapinzani na wanaharakati
 
Guys I am informed there’s a guy shooting randomly near Stanbic Bank, anyone with more news?

Inadaiwa kuna watu wameuawa. Ni Karibu na Makao Makuu ya Stanbic...
Ni masikitiko makubwa kupata habari ya kuogofya yenye viashiria vya ugaidi.Sipendi kusikia habari za UGAIDI, uliza AFGHANISTAN utajua nini maana ya ugaidi
 
Polisi walioishiwa mbinu na uongo unazidi ndio madhara yake haya , uliona wapi gaidi anaangalia watu na anawageukia wampige picha vizuri? hakuna cha gaidi wala nini haya ni matokeo ya sinema feki za SIro lile lijamaa ni lipolisi mara nyingi linakaaga pale kona ya Serena minyama uzembe flani hivi, hakuna aliyekufa wala nini sanaa za maonyesho hizi, jiulize sehemu sensitive kama ile na leo Rais alikua oficers mess then atokee eti gaidi ana silaha mbili AKA47 , jiulize kapita wapi hadi kafika pale?

Huko alikotoka hawakumuona? yaani Siro ni failure sana hawezi hata kutengeneza tukio, ndiomaana wanasema inteligence means inteligent sasa hawa zero wetu ati ndio wakutegemea, sahau kabisa, wametoka mupigwa vijembe waachie mahabusu wasio na upelelezi mara paap jamaa anapiga selfie na bundukli mbili eneo hilohilo eti gaidi, jamani, hivi Polisi wanatuonaje watanzania?
 
Back
Top Bottom