Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Swala la msingi la kujiuliza kafikaje fikaje mpk hapo.. Na katoa wapi huo ujasiri.. Ile video inaonesha ni mtu mzoefu .. Isije ikawa ni wale jamaa wanaofanyaga yao kule Kenya... Na je yupo huyu tu au kuna wengine?

Tahadhari kubwa itangazwe hasa kwenye balozi na malls
 
Mi ningekuwa ni polisi ningempiga za miguuni ni mkamate nimuulize katumwa na nani.

Inawezekana kumuua kwake na mtandao wake bado haujajulikana ukaja kusumbua vilevile
 
Ndio wale wale sinema feki, na hao ndio wasomi wao kule geshi ra porish
Una akili ndogo sana. Hujawahi kugundua uandishi mzuri unavutia hadi wasomaji.

Sasa akili zako kama ndiyo hizo una tofauti gani na hao polisi.
 
Kwamba jamaa yule ni police au??
 
wamekosea sana kumuuwa!. Wenzetu watu kama hawa awauwai Kwani anaweza kuwa amebeba ujumbe mzito kwa usalama wa nchi husika siku zijazo.Sasa tumebaki kizani😥Kama vile yule aliemua Osward aliemuuwa JF Kenedy.

India ilipotokea shambulio la Ugaidi Mumbai walipambana nao na kuuwa magaidi karibia wote wakambakisha mmoja.Alipobanwa alitoa mpango mzima na nani aliewatuma,Serikali ya India walipojirizisha kuwa Dogo ametoa yote yaliomo akilini mwake wakampiga Kitanzi
 
Ndio wale wale sinema feki, na hao ndio wasomi wao kule geshi ra porish
Mpuuzi mkubwa! Sasa kama aya hazikuwa na umuhimu kwenye andiko lako umeenda kurekebisha nini?

Siku nyingine usiwe unaandika uharo.
 
Dar cjui kama kuna wanaume
Aiseeee
Magorofa yote tumejenga huku na pweza zipo baharini za kutosha/kuna hospitali kubwa pale muhimbili kina mama kila siku wanajifungua na jambazi tumemmaliza alafu bado unauliza kama Dar kuna wanaume kima ww..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…