Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Mi ningekuwa ni polisi ningempiga za miguuni ni mkamate nimuulize katumwa na nani.

Inawezekana kumuua kwake na mtandao wake bado haujajulikana ukaja kusumbua vilevile
Lissu kasema hawa jamaaa zetu (Polisi) they are trained to torture and kill.....Mungu Baba tusamehe
 
Huyu jamaa atakuwa Msomali, na naamini atapigwa risasi na wadunguaji...

Ninahisi ama ni stress za maisha, ana unaddressed grievances hivyo kapoteza tumaini akaamua kulipa visasai liwalo na liwe, au ni athari za chanjo. Tunaomba kwenye wadhifa wake watuambie kama yuko kwenye database ya dunia ama la.
 
Jamaa kwenye video anaonekana kavaa kikofia flani hivi chechefu.
Anapigana dhidi ya Merican kuweka (in short wazungu) kuweka vibaraka wao Taliban's pale Af'stan!

Kwa mujibu wa mmoja wao nilikuwa nae karibu tukisikiliza breaking news radio one.
 
Hata mimi nimesema hayo ni maigizo tu mtu mmoja amatembea bila kujikinga hadharani tena wima namna eli??
 
atokee eti gaidi ana silaha mbili AKA47 , jiulize kapita wapi hadi kafika pale? huko alikotoka hawakumuona? yaani Siro ni failure sana hawezi hata kutengeneza tukio
Nakuelewa kama ni sinema, ila Kwamba huyu ni askari inatia mashaka, jamaa hana viashiria vya uaskari hata kidogo;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…