kibali
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 504
- 425
Hawa viongozi wanainajisi sana hii nchi.Naona Tanzania tunahitaji magaidi na wameanza kujitokeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa viongozi wanainajisi sana hii nchi.Naona Tanzania tunahitaji magaidi na wameanza kujitokeza.
Naona hiyo ni tozo tutaheshimiana tuTalban wametia timu au
na silaha kali kama hii ametoa wapi?Lakini mkuu mgonjwa wa akili anawezaje kuseti bunguki mpaka kujua kurusha risasi,alafu mgonjwa wa akili akudhuru kabisa raia?,maswali ni mengi sana tusubiri uwenda tukapata taarifa nzuri zaidi.
Usitarajie ukweliTusubiri watu wa Usalama wa Raia watuambie taarifa zaidi
Ulitaka wafanyaje?!
Warukeee..
Kwaio ni gaidi? aache raia wooote hao, angetaka kuingia ubalozini pia angeingia vizuri tu kwani katoka wapi kwa mguu hadi kufika hapo??nani kasema ni jambazi? jambazi anatarget polisi?
inaonekana hii bajaji ni tupu, dereva na abilia wake wamesepa baada ya kusikila mlio wa SMG karibu kabisa kwa mara ya kwanza maishani kwao - angekuwa jasiri angetulia akamredi sauti ili tupate kujua nini hasa alichokuwa anakitaka huyu jamaa.
siro tena???Tusubili analysis ya wakina sirro
Duuh!Inasemekana aliwapora askari walikuwa wamekaa kibandani
Nimeskia shuhuda mmoja alikuwa anaelezea
Global TV
Ova
Aliwaporaje?! Silaha 3 kwa pa1Kuna video inaonesha ana silaha 3.
Ww unaongea kirahisi rahisi......Sema watanzania sisi sio majasiri - ilitakiwa watu waliokuwa kwenye bajaji warekodi baadhi ya maneno ya huyo jamaa - huenda alikuwa na ujumbe mahsusi kwa moja ya kundi either la watawala ama watawaliwa.
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
👍wewe paka
Hata hivyo bado maswali ni mengi, hizo silaha mbili za kivita katoa wapi na kwanini awatake polisi?Ata huyo sio gaidi anaonekana ni mtu tu na stress zake.gaidi gani anaongea hivyo nakutembea hivyo barabarani.Ila kwavile tunawashwa siku ugaidi serious ukifika sijui itakuaje.ngoja tuone maana tunawashwa kweli.
Soma komenti zote za uzi huu utapata majibu!Sijui aliipata wapi. Tutajua mengi.