Basi mkuu Mrangi lazima jamaa ana dippreshen am kadhia flani imemshikaInasemekana aliwapora askari walikuwa wamekaa kibandani
Nimeskia shuhuda mmoja alikuwa anaelezea
Global TV
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mkuu Mrangi lazima jamaa ana dippreshen am kadhia flani imemshikaInasemekana aliwapora askari walikuwa wamekaa kibandani
Nimeskia shuhuda mmoja alikuwa anaelezea
Global TV
Ova
Kuna video inaonesha ana silaha 3.Sijui aliipata wapi. Tutajua mengi.
What is propaganda!?Mimi ni raia wa kawaida, nimetazama hizo video, gaidi huyo hana shabaha? Nakumbuka WestGate Kenya walikuwa na shabaha, lkn huyo ni km mtu karukwa na akili au ni propaganda.
IaUPLOADKuna video inaonesha ana silaha 3.
Na hizi wanazo sana kila Al shabab .Ile ni Ak47 ya kivita babu
Ameuwa askari wawili duuh!!?keshaondoka na askari wetu wawili na mmoja kamvunja mguu. inauma sana. polisi waache kutumika na ccm kuonea wapinzani badala yake wajikite kwenye ulinzi wa raia na mali zao.
Basi kwenye mazingira kama haya basi ni pesa dhuluma au mwanamke. Pia huenda ana chuki na polisiLakini mkuu mgonjwa wa akili anawezaje kuseti bunguki mpaka kujua kurusha risasi,alafu mgonjwa wa akili akudhuru kabisa raia?,maswali ni mengi sana tusubiri uwenda tukapata taarifa nzuri zaidi.
Hakuna sehemu kwenye katiba inanitaka kufanya hivyo. Ningekuwa nataka kui-upload ningefanya hivyo mapema sana.IaUPLOAD
Lazima ana watu huyu. Ikute hii ilikuwa muonjesho tu. Kuna makubwa yanakuja.Kuna video inaonesha ana silaha 3.
Halafu wanapenda Eneo Hilo Sana. Nimekumbuka wale waliolipua Ubalozi Fulani miaka ya 1998
Hata waliomteka bensa8 pia kwahiyo ni magaidi?!ugaidi hata ukiwa hunahela unaweza fanya ugaidi ni suala la kutoka moyoni tu
NA HISI WAMETIA TIMU MAANA TUTAHESHIMIANA TUTalban wametia timu au
Huyu ni imani imemkaa na chuki na polisi maana maelezo yake inasemekana alikuwa anasema "mi nadili na askari tuu "Basi kwenye mazingira kama haya basi ni pesa dhuluma au mwanamke. Pia huenda ana chuki na polisi
US embassy kwa sasa vigumu kuwagusa zwale namba nyingineUS embassy
Wangemvunja miguu ili wapate taarifa zake.Wazee wa kazi wameshammaliza.
Yani umajipinda kuandika kote huko ila kilichokushinda na ambacho ulitamani uweke kwenye bango lako ni neno/jina moja tu MBOWETukio lililotokea leo jijini Dar wote limetuacha na maswali mengi. Wakati vyombo vya usalama vikiendelea kulitakafakari na kujiuliza mengi kuhusu tukio hili la kusikitisha, sisi wananchi tunalilaani sana na tunapongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuchukua hatua za haraka na za kishujaa kulidhibiti.
Pengine madhara yangekuwa makubwa zaidi. Tunawapa pole sana walioathirika na tukio hili kwa namna yoyote ile zikiwemo familia za maaskari wetu shujaa walioripotiwa kuwa wameuawa katika tukio hilo. Inasikitisha sana.. Matukio kama haya yanadhihirisha umuhimu wa serikali kuongeza nguvu katika kufuatilia na kuwatia kwenye mkono wa kisheria yeyote anayetuhumiwa kuhusika na masuala ya uhalifu na ugaidi bila kujali rangi, dini, kabila, cheo wala itikadi yake ya chama.
Yeyote anaweza kufanya uhalifu na yeyote anaweza kuwa gaidi. Kuna wengine wamekuwa wakipima suala la ugaidi na kiwango cha pesa. Wanataka wasikie kiasi cha mabilioni na matilioni yanatajwa. Hivi huyu jamaa wa leo, ametumia matilioni mangapi kufanya alichoweza kufanya? Nasikia hata bunduki aliyotumia amepora kwa askari (kama ni kweli).
Uhalifu na ugaidi uko zaidi kwenye fikra kuliko kiwango cha pesa. Kwa anayekamatwa vyombo vya sheria ni bora kuhakikisha kuwa sheria inatumika kwa usahihi na anayepatikana anapewa adhabu kali kwelikweli. Ni nani aliyejua kuwa huyo jamaa angeweza kufanya tukio hilo lililoshtua jiji na nchi nzima.?
Hakuna anayeweza kusema kwa uhakika wa nafsi yake kuwa fulani siyo mhalifu, au fulani siyo gaidi. Hakuna, si askofu, si mfuasi wa chama, si mwanafamilia, si yeyote. Hakuna. Muhimu ni kuacha vyombo vya usalama na upelelezi kufanya kazi yao na sheria kuchukua mkondo wake.