Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

nani kasema ni jambazi? jambazi anatarget polisi?
Kwaio ni gaidi? aache raia wooote hao, angetaka kuingia ubalozini pia angeingia vizuri tu kwani katoka wapi kwa mguu hadi kufika hapo??

THIS IS STAGED
 

------
Shuhuda: Aelezea namna ilivyokua kwenye majibizano ya risasi.
Your browser is not able to display this video.
-----
Your browser is not able to display this video.
Chanzo: Kurasa za Twitter
 
Huyo ni gaidi amejitoa muhanga
Mkuu huoni wangezidi kungojea jamaa angweza kuamua kuua zaidi japo imenigusa. Naamini jamaa ana matatizo ya akili. Tusubiri taarifa zaidi. Iyo ak 47 alipata wapi?
 
Ata huyo sio gaidi anaonekana ni mtu tu na stress zake.gaidi gani anaongea hivyo nakutembea hivyo barabarani.Ila kwavile tunawashwa siku ugaidi serious ukifika sijui itakuaje.ngoja tuone maana tunawashwa kweli.
Hata hivyo bado maswali ni mengi, hizo silaha mbili za kivita katoa wapi na kwanini awatake polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…