Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Nature ya ulinzi wetu wa jiji ni mdogo, nchi za watu waliostraabika CCTV camera za barabarani zingemuonyesha tangia alikotokea hadi kufika hapo eneo la tukio... na alipitaje huko na hiyo mashine kubwa bila kushtukiwa na maaskari.
You don't know chuma wewe..😅Ukiwa polisi inabidi uwe jasiri tu mkuu na ufanye hivyo,hakutakiwa kufa yule kwa matumizi ya baadae
Hii ya Kenya walikuwa kwenye mafunzo ya utayari halikuwa tukio halisi.Dah inaogopesha. Na ni juzi huko Mombasa Kenya polisi waliwawahi magaidi wawili ambao walikuwa na AK 47 wakienda kuvamia kituo cha polisi. Aliyewauza ni gaidi mwenzao aliyekamatwa na kutoa siri. View attachment 1907803
Kifo hatar we kisikieHuyu alikuwa afanye tukio kubwa sana kuna msafara alikuwa anasubiri upite ndio aushambulis sema raia wema walitoa taarifa msafara ukageuza kabla haujafika mhalifu alipoView attachment 1907802
Na kabla hajawahiwa kulikuwa na msafara anausubiri huenda angemaliza viongozi wetuDah inaogopesha. Na ni juzi huko Mombasa Kenya polisi waliwawahi magaidi wawili ambao walikuwa na AK 47 wakienda kuvamia kituo cha polisi. Aliyewauza ni gaidi mwenzao aliyekamatwa na kutoa siri. View attachment 1907803
YahTerror act???
Ujumbe wako huu ni mzito. Mungu atulinde maana mambo yanaweza kugeuka sasa hivi Mungu akiondoa ulinzi wake katika nchi na hakuna wa kuweza kulinda tutaishia tu kujichinja wenyewe. Watawala jifunzeni kutenda haki na wacha Mungu tuendelee kumwomba Mungu awape watawala maarifa na tuendelee kuwa na amani.Mungu tuepushie mbali haya mambo. Tunamshikilia Mbowe haya sasa mungu katupa kile tunachikitaka, Dah Poleni Jeshi la Polisi
Usitarajie ukweli
Hahaha hamna mm mweupe tuHivi Kuna Jambo hulijui kweli kwenye jiji hili?
Imebidi maana jamaa angechakazaKifo hatar we kisikie
Naona jamaa wanageuza
Ova
inaonekana hii bajaji ni tupu, dereva na abilia wake wamesepa baada ya kusikila mlio wa SMG karibu kabisa kwa mara ya kwanza maishani kwao - angekuwa jasiri angetulia akamredi sauti ili tupate kujua nini hasa alichokuwa anakitaka huyu jamaa.
Mambosasa kwa sasa hayupo tena Dar. Aliyepo Dar ni Jumanne MliloSawa tu hata wakitudanganya ila wakae wakijua hili tukio sio la kuchukulia masihala. Huenda akawa ni mmoja kati ya wengi ambao hawajajulikana bado.
Acha tumsubirie Mambo Sasa. Ila kwa Polisi wetu hawashindwi kutuambia alikuwa na Tatizo la Akili [emoji23]
Anasubiri bikira zake 72Huyo ni gaidi amejitoa muhanga
Hao ni CCM wenzangu siwataji kwa kedi 🤣🤣Kenya kote kwani kina Bashe, Rage, Kinana ni waarabu?
Uhai ni kitu muhimu sanaImebidi maana jamaa angechakaza
He aint stupid...read between the lines.Huyo muharifu ni kilaza sana. Unaenda fanya tukio kwenye magorofa hujui nani yupo juu anakutazamaa
Ana vazi llinaloashiria ni member wa alshababNaona hali si shwari maeneo ya Salendar. Foleni kubwa mno. It seems kuna tukio lisilo la kawaida.
View attachment 1907581
Ukiwa na silaha na unaijua ndio unavyokuwa/jisikiaMbona anajiamin huyu au karukwa na akili