Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Huyu sijui atakuwa kapewa laki ngapi?!daah! sijui tunaelekea wapi jamani!😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sijui atakuwa kapewa laki ngapi?!daah! sijui tunaelekea wapi jamani!😢
Hawa na wale wa Likoni Mombasa dugu moyaWow. Hawa mashetani wamefika Tanzania? Poleni zenu majirani.
Fafanua mkuu 😂😂Jamaa kwenye video anaonekana kavaa kikofia flani hivi chechefu.
Mkuu upeo wa wanamedani wetu ndio huo!!Kuna mahala hapapo sawa detection ya hili tukio haikuwepo kweli?mpaka huo msafara unageuzwa na wananchi maana yake hakuna watu hapo mbele ambao walikua wanaconnection na msafara?means hakukua na wafagia barabara?
Huyu jamaa zimetumika risasi nyingi sana zaidi ya 50 na zilizomuangusha hazifiki 4 ...
Ok sawa ni gaidi kwann hakuzimishwa ili tukakae nae chini tujue alikua anataka nini na katoka wapi na wapo wangapi??
Nina jiuliza mengi kichwani....
Yah halikuwa tukio halisi. Angalia tena utagundua.Kweli mkuu?
Ndio na ndio maana hakutaka kuua raia wasio na hatia hii ni tayari vita huto ni kama demo huenda nyuma yake kytakuwa na kundi kubwa sana lazma walipize hapa itabidi polisi wajipange kweli kweliBasi jamaa gaidi
Hao walikuwa na safari zao wakati kashaanza kupiga risasi juu, Unajua bunduki kazitoa wapi? na hu ni msafara wa polisi vilevile part of the picture. Ukifikiri vizuri utaelewaHuyu alikuwa afanye tukio kubwa sana kuna msafara alikuwa anasubiri upite ndio aushambulis sema raia wema walitoa taarifa msafara ukageuza kabla haujafika mhalifu alipoView attachment 1907802
Upo sahihi ila nawaza kwa mfano angekamatwa na kuingiza siasa kwa mfano akamtaja Mwanasiasa yeyote kua amemtuma kutekeleza tukio.Kuna mahala hapapo sawa detection ya hili tukio haikuwepo kweli?mpaka huo msafara unageuzwa na wananchi maana yake hakuna watu hapo mbele ambao walikua wanaconnection na msafara?means hakukua na wafagia barabara?
Huyu jamaa zimetumika risasi nyingi sana zaidi ya 50 na zilizomuangusha hazifiki 4 ...
Ok sawa ni gaidi kwann hakuzimishwa ili tukakae nae chini tujue alikua anataka nini na katoka wapi na wapo wangapi??
Nina jiuliza mengi kichwani....
Laki 6Huyu sijui atakuwa kapewa laki ngapi?!
Ok.Hao walikuwa na safari zao wakati kashaanza kupiga risasi juu, Unajua bunduki kazitoa wapi? na hu ni msafara wa polisi vilevile part of the picture. Ukifikiri vizuri utaelewa
Jamaa kamiminiwa marisasi hata baada ya kujisalimisha. Watu kama hawa wanastahili kuangamizwa papo hapo. Hata wakijisalimisha bado lazima waangamizwe.Hawa na wale wa Likoni Mombasa dugu moya
Hapo uliko uko wapidaah! sijui tunaelekea wapi jamani![emoji22]
Itakuwa wamuruhusu tu aongoze magariAu wataliban