Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

mesikia eti aliangushwa na boda bodaaa huenda boda boda alikuwa ameshatekwa akajinasua kwa namna hiyooo
 
Kuna mahala hapapo sawa detection ya hili tukio haikuwepo kweli?mpaka huo msafara unageuzwa na wananchi maana yake hakuna watu hapo mbele ambao walikua wanaconnection na msafara?means hakukua na wafagia barabara?
Huyu jamaa zimetumika risasi nyingi sana zaidi ya 50 na zilizomuangusha hazifiki 4 ...
Ok sawa ni gaidi kwann hakuzimishwa ili tukakae nae chini tujue alikua anataka nini na katoka wapi na wapo wangapi??
Nina jiuliza mengi kichwani....
Mkuu upeo wa wanamedani wetu ndio huo!!
E.g ugaidi wa laki6
 
Huyu alikuwa afanye tukio kubwa sana kuna msafara alikuwa anasubiri upite ndio aushambulis sema raia wema walitoa taarifa msafara ukageuza kabla haujafika mhalifu alipoView attachment 1907802
Hao walikuwa na safari zao wakati kashaanza kupiga risasi juu, Unajua bunduki kazitoa wapi? na hu ni msafara wa polisi vilevile part of the picture. Ukifikiri vizuri utaelewa
 
Kuna mahala hapapo sawa detection ya hili tukio haikuwepo kweli?mpaka huo msafara unageuzwa na wananchi maana yake hakuna watu hapo mbele ambao walikua wanaconnection na msafara?means hakukua na wafagia barabara?
Huyu jamaa zimetumika risasi nyingi sana zaidi ya 50 na zilizomuangusha hazifiki 4 ...
Ok sawa ni gaidi kwann hakuzimishwa ili tukakae nae chini tujue alikua anataka nini na katoka wapi na wapo wangapi??
Nina jiuliza mengi kichwani....
Upo sahihi ila nawaza kwa mfano angekamatwa na kuingiza siasa kwa mfano akamtaja Mwanasiasa yeyote kua amemtuma kutekeleza tukio.
Mngemuamini?
 
Back
Top Bottom