Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Nature ya ulinzi wetu wa jiji ni mdogo, nchi za watu waliostraabika CCTV camera za barabarani zingemuonyesha tangia alikotokea hadi kufika hapo eneo la tukio... na alipitaje huko na hiyo mashine kubwa bila kushtukiwa na maaskari.
Chakushangaza kabisa tena hilo eneo very important pakiwa na afisi nyeti za nje na ndani.
 
Askari aliyeporwa ni mzembe kupita kiasi
Unawekewa lita tano ya mafuta kufanya shughuli .... inayohitaji lita kumi. Lita tano za ziada unalipwa baada ya miaka minne au usilipwe kabisa! Huku ndiyo kudata kwenyewe sasa!
 
Lakini bado najiuliza hivi inawezekanaje mtu anaweza kuingiza silaha nzito hizo bila kujulikana? Au kuna kibali kinatolewa kwa Bunduki kama ya huyo jamaa?
Inawezekana mkuuu, zinachapishwa fedha bandia sembuse silaha.
 
Ufaransa iliwapa fedha rwanda ili waende kule msumbuji nahisi ndio maana alienda huko
 
Kuna mahala hapapo sawa detection ya hili tukio haikuwepo kweli?mpaka huo msafara unageuzwa na wananchi maana yake hakuna watu hapo mbele ambao walikua wanaconnection na msafara?means hakukua na wafagia barabara?
Huyu jamaa zimetumika risasi nyingi sana zaidi ya 50 na zilizomuangusha hazifiki 4 ...
Ok sawa ni gaidi kwann hakuzimishwa ili tukakae nae chini tujue alikua anataka nini na katoka wapi na wapo wangapi??
Nina jiuliza mengi kichwani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…