Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Mbna huyu anaonekana kama kajeruhiwa mpiga picha anasema.. "sijui kamuua""
 
Wale wa kwenye dala dala alikuwa anawaambia nini? Hapo ndio tunaweza kupatumia kujua nia yake ilikuwa ni ipi?
 
jamaa alikua kwenye bajaj au mwenye bajaji amelala MBERE baada ya kusikia risasi?

Hivi tunavyoongea jamaa ndio anapita mbio hapa Mapinga, akielekea Bagamoyo...😊😊
 
Ulimi unaumba
Waliopewa nchi ni wapiga deal
There is more to come
Kuna mtu anapewa safari kila siku nyuma kuna watu wanafanya yao
Wanapanga mipango
Jeshi la Wananchi huu ni mfupa wa samaki fanyeni yenu tuanze upya.
Nyumba teule kuko na majambawazi
 



 
Umeona? Ndio maana hata wale wa Magufuli walishindwa kwa Lissu. Huyo gaidi kasimama kama gogo lakini wanapiga hewani tu!! Yaani amepiga risasi nyiingi bila ya kupatia shabaha.
 
TANZANIA/JF KILA MTU NI MWANA USALAMA. UKISOMA COMMENTS UTACHEKA NYINGINE UTASIKITIKA TU.

NIONAVYO MIMI HUYO MTU NI GAIDI. TENA MAGAIDI WAMEKUJA NA AINA MPYA YA KUFANYA TUKIO KWA KUWALENGA ASKARI TU HASA POLISI.

HII MBINU NI NZURI KWA KUWA MAGAIDI SASA WANAKWENDA KUPATA UUNGWAJI MKONO MKUBWA KUTOKA KWA RAIA. NIMESOMA COMMENTS KWENYE MITANDAO MBALIMBALI WATU WANAMPONGEZA GAIDI KWA KUTOWAGUSA RAIA WA KAWAIDA.

KULE KENYA WET GATE MAGAIDI YALIUA RAIA NDIO MAANA WALIPOTEZA USHAWISHI. HUKU KWETU MAGAIDI HAYAGUSI RAIA ILI TU KUPATA SUPPORT YA NGUVU YA UMMA.

YAJAYO YANAHUZUNISHA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…