Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Sema wewe tukisema sisi tunaitwa magaidi.
 
Marekani hata kama ikitokea ni LAZIMA watajua ni nani, alitoka wapi na alitaka nini, silaha alipata wapi nk Hapa kwetu sahau kujua chochote kuhusu huyo jamaa ndugu, lazima upigwe fix kwamba alikuwa anadai mafao yake pale ubalozi.
Duh kwamba alikuwa anadai mafao yake 🤣 🤣
 
Huyo ni msomali na alienda kusoma mambo ya dini huko Egypt na mara zote alikuwa akitaja mambo ya jihad.
N. B nimesikiliza clip inayosambaa mtandaoni
Msomali anakwenda kusomea ugaidi halafu anarudi kwetu? Hii nalo ni kubwa.
Lakini pia tujue kama chanjo imemfanya ajione yuko tayari front kwenye jihad.
 
Upo sahihi ila nawaza kwa mfano angekamatwa na kuingiza siasa kwa mfano akamtaja Mwanasiasa yeyote kua amemtuma kutekeleza tukio.
Mngemuamini?
Mkuu kwenye Amani ya nchi hakuna chama wala mtu ambaye atajaribu kuigusa na akaungwa mkono...pia ukweli hujitenga ujue ata kama atataja mwanasiasa lakini ukweli utajulikana na wahusika watajulikana...kwani haya yanayotokea huko mpakani mbona hayahusishwi na wanasiasa wetu? Ni sababu wameshaona nini kinatakiwa kifanyike
 
Umetafakari vyema.
 
Naomba kuulza Tozo zetu zina nunua na hizo risasi ??
 
Umeona? Ndio maana hata wale wa Magufuli walishindwa kwa Lissu. Huyo gaidi kasimama kama gogo lakini wanapiga hewani tu!! Yaani amepiga risasi nyiingi bila ya kupatia shabaha.

Tundu alikua gaidi au waliomvamia ndio walikua magaidi mfano wa huyo aliyeua police wawili?
Kilichotokea hapo ndicho kilichotokea pale dodoma

Halafu acha kumhusisha hayati na mambo ya kijinga
 
KWETU MAGAIDI HAYAGUSI RAIA ILI TU KUPATA SUPPORT YA NGUVU YA UMMA.

YAJAYO YANAHUZUNISHA SANA.
Nadhani akina El Chapo na Escobar wa Amerika ya Kusini walitumia mbinu hii. Tusisahau shehena ya tanikaribu mbili ya heroin iliyoambatana na kimbunga JOBO! Mungu tunusuru na dhahama hii.
 
" angepigwa za mguuni ,achukuliwe akahojiwe"-👁️ 👄 👁️


Hakuna mafunzo ya namna hyo,,unafundishwa always kupiga centre mass unless mtu ame-surrender..miguuni🤣🤣
 
subiri saa mbili kaka si mbali.
Ila Bongo akishindikani kitu kuna tukio lilitokea, nimelisahau kidogo ila nakumbuka polisi kwa papara zao wakatangaza kuwa wamempata mtuhumiwa, baadae ikajagundulika kuwa huyo mtuhumiwa ni chizi tu wa muda mrefu pale mitaa ya Kawe. Bongo hatushindwi sisi. 🤣 🤣 Ila hilo la kudai mafao watakuwa wameenda mbali aisee.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…