Sema wewe tukisema sisi tunaitwa magaidi.Ukifuatilia hizi video unagundua kwamba vyombo vyetu huwa havipo tayari muda wowote na popote kupambana na matukio yoyote.
View attachment 1907720
Tanzania nchi ya amani lakini wehu wachache hawakosekani popote.... na kuwa tayari kupambana na matukio kama haya ni muhimu sana
Yaani hapa kama vile wamfufue waanze kumchapa upyaaaa
View attachment 1907722