Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Huyo si gaidi ni hao wasomali pirates wa zamani alikimbilia mafichoni tu hapa bongo.
tabu ya damu ukiua siku utajitokeza mwenyewe kukiri.
huyo mpumbavu unaenda ku attack Police mchana kweupee,kwaza polisi wa kazi gani?labda wawe wanakufkuzia,mara nyingi caught in action wanakimbia na kujificha.
leo naskia wawili wameondoka kizembe tu..

Ila polisi nao kumchabanga jamaa risasi km 500 zamatako sio poa ,mngepiga zingine za mbupu angeamka yule.
Alafu mnabalance story😂😂😂🍻
 
Such cowards wanapenda soft target, huyu lazima alikua wazimu, hakumiminia bus ya Rosa marisasi, alikua tu anaongea zake.., I hate terrorism, washindwe kabisa!!
 
Ufafanuzi ulioshiba.[emoji122]
 
Mbona unaulizia wa marekani uko mbali kabisa na wa ufaransa bwashee
 
chezea mlio wa chuma
Mkuu katika vitu naogopa maishani na ninaombea nisiwepo kabisa kwenye matukio ya kurushiana risasi yani nitazimia. Siyo eti mbaguzi ila hii jamii ya waarabu na wasomali wakiingia kwenye basi au treni hasa wanaume ninakuwaga makini sana hadi safari iishe japo ni watu fresh. Namuomba Mungu yasinikute. Ila mbantu mwenzangu awe na sigda au ndevu kibaragashia sina hofu kabisa ila hawa wenye lafudhi ya kikohozi japo ni watu freshi tu tayari
 
Mi nimeshangaa wamempiga kaanguka bado wakaendelea kumpiga,hapo hawatajua chochote kuhusu mtandao kama upo
 
Hiiyo marekani na ufaransa unayoitaja kwao mashambulizi ya kigaidi ni kila wiki. Halafu kuanza kuhusisha masheikh wa uamsho na hili ni mapema mno. Tafadhali punguza mihemko
 
wana panda wana taja Pentagon mara bunge mwisho waseme Ndugai ata tujuwa! au waseme Mungu tupokee sisi niwaja wako tuna kuja leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…