Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kwa tukio lililotokea leo jijini Dar, tusahau kabisa kuona mzungu yeyote akitia mguu mahakama ya Kisutu au kupiga kelele juu ya kukamatwa kwa Mbowe. Kwa mara nyingine Kila mmoja ameona hatari kubwa inayoweza kuipata nchi kutokana na uhalifu uwe wa aina ya ujambazi au ugaidi. Mungu atuepushie mbali.

Hata wafuasi wa Chadema sasa wanatambua kwa nini serikali ina ukali mkubwa dhidi ya kwa vitendo vya uhalifu vikiwemo vile vya ugaidi. Wametambua kwa nini serikali haiko tayari kumwachia Mbowe mpaka kieleweke mbele ya sheria.

Ni bahati mbaya sana baadhi ya wanasiasa walikuwa wakilichukulia jambo hili kwa mzaha mzaha. Sasa tuache mzaha. Kila mmoja akae mkao wa kulinda taifa letu dhidi ya hatari yoyote. Kila mtu amchunge mwenzake hata kama ni kiongozi wako wa siasa au dini usikubali kupumbazwa kuwa hawezi kuwa mwalifu au gaidi. Tumeona kwa muda mfupi taifa lilivyopoteza askari wake na suala hili kuleta taharuki. Tutafakari sana.
Kwani huyo atapelekwa kisutu ?
 
Msomali anakwenda kusomea ugaidi halafu anarudi kwetu? Hii nalo ni kubwa.
Lakini pia tujue kama chanjo imemfanya ajione yuko tayari front kwenye jihad.
Kulingana na hyo clip huyo kijana alikuwaga na akili ka zimeruka jeuri na msumbufu ndio akapelekwa Egypt kusoma dini na aliporudi Tanzania akawa anataja mambo ya jihadi
 
Tunajua hili lazima ni suala la uanaharakati wa kidini kwa huyu kijana msomali kuua asjari wawili wa polisi.
Nimesikitikia utayari wa polisi wetu waliokuwa lindo, kuvamiwa na silaha kuchuliwa na wao kuuwawa.
Halileti picha nzuri kwa utayari wa askari wetu.
Hata hivyo RIP vijana wetu.
Polisi wetu wanajipima kwa kupambana na mwanasiasa asiye na silaha wala ujuzi wa kupambana.

Mlitaka magaidi naona wamewasikia na wameanza kubeep bado hawajapiga simu
 
Hao askari nao wameporwaje hizo binduki?

Askari walikuwa wangapi?
Ndo kinachosemekana mkuu.. maana inavoonesha jamaa ni kama aliwapora askari hizo bunduki kisha akawashambulia... Hata mimi bado nashangaa kama wewe imekuwaje askari anaporwa bunduki.
 
Tuliambiwa Tz ni kisiwa cha Amani so ata police wame relaxy
 
Huu ni udhaifu umeonyeshwa nabjeshi la polisi mtu mjo na wako na nafasi ya kumkata kabisha eti wanapiga kifua

Sham on you!
Hujawahi kusikia hata sauti ya risasi alaf unataka gaidi alieuwa askar wawili abembelezwe amatwe akiwa mzima? Siku utakayo sikia sauti ya risasi na mtu akadondoka mbele yako utajiona mpuuzi sana
 
Back
Top Bottom