We're not serious [emoji23][emoji23][emoji23]wabongo kwa exaggerations ndio maana ni rahisi kutolewa katika mambo ya msingi kwasababu tunaishi kwa matukio mno...kwa ugaidi gani aliofanya hakuna mlipuko, hakuna uvamizi, au mauaji ya halaiki zaidi ya kufyatua tu risasi hewani na kujeruhi, ni kawehuka tu akili zake labda ana makwazo na mapolisi wetu hawa maana nao sometimes hawako fair kabisa tunawajua askari wetu, hivyo reaction yake ndio kaona afanye atakacho uenda alishindwa kuzuia hasira zake tu[emoji846]
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app