Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Maswali ni mengi..

1.Kwa nini alivaa viatu vya aina mbili tofauti?

2.Kwa nini amejitoa mhanga afe?
 
Hata vibaka wanaopiga watu nondo na majambazi wanaokuvamia kukupiga na hata kukuua ni ndugu, baba, mama, kaka zetu katika jamii. Tuweni na huruma.
 
Alitarget askari tu ndiyo maana kuna mashuhuda wamesema alikua anawasemesha wapita njia wapite mbali.
 
Nashindwa kuelewa kwanini anaripotiwa kama JAMBAZI. Yule sio JAMBAZI hana qualification za JAMBAZI yule ni MSHAMBULIAJI.

Anyway kwakuwa wakubwa hawapendi kukosolewa watasema ni JAMBAZI aliyeiba kwa kutumia silaha silaha ya Askari.
Mkuu umeupiga mwingi, kwa taarifa zinazotajwa mpaka sasa yule ni mshambulizi,

1. Hawezi kuwa jambazi kwa sababu mpaka sasa hatujaambiwa mali alizopora.

2. Hatujaambiwa kama alikuwa na sababu zozote za kisiasa zilizopelekea yeye kufanya shambulio hilo.
Kwa hiyo kwa mujibu wa kamusi ya lugha ya kiswahili tunamuita mshambulizi
 
Yule askari angeenda na bomu la kurisha na mkono, alivyokuwa amesogea vile angeweza kuwin kirahisi sana.

lkn nimechoka baada ya kumwona anatoa ishara kwa wenzake huku amempa adui kisogo..nikasema "ONA HII NANGA"
Huyo ni mlinzi wa kampuni za ulinzi binafsi
 
Una maana Cabo Delgado kwenye mafuta?
Ila inawezekana kabisa kuna connection na France maana hawa kwa fursa za kibabe hawajambo
Hata [emoji1026] mpaka kesho watakuwa wanachukua mafuta kibabe kwa kuwakandamiza
Na Rais wao ndio alisaini nao na anaetaka kuingilia anapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…