Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi


Total hiyo
Na kweli hapa kuna mchezo wanacheza
Ngoja tusubiri reports zijazo ingawa tunafichwa mengi na hakuna freedom of information [emoji3482] sio huru sana
 
Pumba tupu, unashauri nini utopolo huu peleka kijiweni....
Kafe mbele na hao vibaraka wa CCM, na ingefaa angekula vichwa vya kutosha
Sisi tunafurahi kwa kwenda mbele
 

Kuna habari mpya humu tena kuwa jamaa alikuwa mchimbaji wa dhahabu Chunya
Yaani hiyo ndio imenishtua tena ila tuombe ukweli uwekwe wazi kama ilikuwa ni dhulma au
 
Hii mambo kama.ni kweli itaondoka na wengi
 
Yaani mkuu inashangaza kabisa..risask mvua zote holaaa.

"Twatwa..twatwa..twatwatwatwatwatwaaaaaa..twa..twatwatwaaa...twatwatwatwaaaaa..."

lijamaa ndo kwaaanza linajipiga piga kifua😂😂😂😂😂😂😂
mkuu nimeona gari moja vagi lote lile ila mkutano wa act gari kuminatano...askari hatuna aisee nimecheka leo yule dogo mwanaumee...alooh hatari mkuu....
 
Mimi nikiwaza Askari Watatu na Mlinzi mmoja wa SGA wapo Mochwali inauma sana. Sasa sijajua, yule askari aliyepigwa pale nje ya Ubalozi wa Ufaransa, akijaribu kumuua huyo Mhalifu kwenye Kibanda sijui kapona? Maaana alipigwa Risasi na Hilo lijamaa.
Yule aliyepigwa ya paja pale ubalozini ngumu kufa
 
Hii ni mission, kuna watu walikuwa wanajaribu jeshi na sasa wamepata jibu kuwa jeshi letu kuna sehemu halipo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…