Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Dhuluma ndugu yake dhuluma,ccm inapora wananchi kura kwa kushirikiana na ndugu zao wakishapata ushindi haramu uwaachia ndugu zao wawapore wananchi kupitia rushwa na Ubambikaji kesi.
Yaani nilinde nikulinde.
 

Asante kwa hilo
Kama ni kusoma naelewa upana wake kwa kiasi changu ila siwezi kuhukumu kwa kusoma Jf na kufikia uamuzi

Siku hizi mataifa kama USA wamejifunza kutokukurupuka kwa kutamgaza haraka genge la watu bali husubiri kwanza upelelezi
Kama yaliyotokea Oklahoma au hujamsoma huyo na conclusion aliofikia Rais wa wakati huo? Na baadae upepo kubadilka?

Mda utaongea na kama ni Terror attack yatajulikana
Tuombe yasiwe hivyo
 
Jamaa alikuja na bastola tu akaua polisi na kuchukua Silaha zote zile toka kwao...!! Inafikirisha sana yani..
Mtego ule kwa jeshi letu la polisi.

Kiukweli kwenye issue ya interijesia inaonekena sijui tuko wapi!.
 
Umeliwa tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan hapo utakamatwa, sasa kuachiwa sio leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunavo ongea hapa mimi na wewe ni kwamba he's under arrest, one man down πŸ™…πŸ™…πŸ™…πŸ™…
 
Mbona Mzungu ,mchina anapewa mgodi why msomali
 
Polisi waliporwa silaha mkuu usibishe,hamna polisi mule!

Wamezoea kukamata wanawake tu na wanasiasa wasio na silaha.

The picture is crystal clear,wewe tu ndo kipofu
 
Mtoto wa juzi kabisa amemezeshwa imani potofu matokeo yake ndio haya sasa amekufa bado mdogo kabisa
Tuzitumie dini vizuri, tukemee yale yaliyo kwenye maagano ya kale, mtume alikufa akiwa na ngeu alikuwa mfia dini na sisi tunataka tufe na ngeu kama mtume daaah 😏😏😏
 
Polisi waliporwa silaha mkuu usibishe,hamna polisi mule!

Wamezoea kukamata wanawake tu na wanasiasa wasio na silaha.

The picture is crystal clear,wewe tu ndo kipofu
Swali langu, hao police waliuawa baada ya kuporwa hizo silaha.? Walikuwa wangapi.? Jamaa alikuwa na silaha zaidi ya mbili sasa police wa kwanza alivoporwa silaha huyo police mwingine akawa anaangalia tuu.?
 
100% Mkuu, Masoud Masoud aliwahi kusema waanfishi habari wengi Bongo hawana ufahamu wa mambo. Leo nazidi kumuamini.

Yaani unamsikiliza mtangazaji redioni anakomalia JAMBAZI, JAMBAZI, JAMBAZI.
Wanahabari wakongwe wengi walikuwa wanajitahidi sana kuboresha maarifa yao kila mara ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi, hawa wa siku hizi akishapata umaarufu, followers kwenye mitandao ya kijamii na kupewa dili za matangazo wanakuwa wameshafika ukomo wa kujiongeza !

Masoud Masoud ukisikiliza anavyotangaza kipindi cha mziki hata kama sio aina unayoipenda utajikuta unasikiliza tu kutokana na vitu anavyokufundisha !
 
Gaidi anayeacha raia sio?
Huyo jamaa hakuwa gaidi,angeanza na huyo boda aliempeleka hapo inawezekana lisemwalo lipo kadhulumiwa na polisi,wasomali hawajawahi kuniangusha hata siku moja wana roho ngumu balaa.

Makarao Wa bongo sio binasamu wema,huko CCP hufundishwa namna ya kuibia na kutesa watu.
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo.
kama Mbowe aliweza kuwa rubuni hao wanajeshi walio fukuzwa kazi vipi hao wavuta bangi wengine ?!
vipi hao wafuasi wasio jitambua?!
huyu jamaa amewaharibu sana wafuasi wa Chadema kwa kuwajaza nia ovu dhidi ya serikali.
uovu ni uovu tu.
Mbowe inadaiwa kuwatumia hawa wanajeshi walio fukuzwa ktk kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya Serikali;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSANI KASEKWA
3. MOHAMEDI ABDILLAHI LINGWENYA.
 
Huyu ni gaidi period.
Polisi wajitafakari sana
Msako uanze haraka sana mpakani Namanga na vitongoji vyake
Bahati mbaya ana Kadi ya ccm, angekutwa na Kadi ya chadema ingefutwa siku hio hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…