ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 948
- 641
Awe na matatizo ya akili halafu awalenge baadhi ya watu inawezekana?vyombo vya usalama mpka sasa hivi havijamdhibiti?? Kwanza inaonekana ni mtu mwenye matatizo yake ya kiakili. Hana madhara makubwa