Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Walikuwa wapi?
Hao polisi waambie kuna kikao cha Chadema au Mbowe anaandamana huko na wenzake. Utaona ndani ya dk 1 wameshafika na bunduki km zote.
Niliona sehemu wananchi wanaandama kuhusu mashamba. Wananchi walitaka walime mpk waingie kwenye hifadhi.
Walikuja wanajeshi tena mmoja alibeba mpk RPG ile ya kutungua denge.
Hili gaidi kuua askari wawili ni uzembe wa askari... limezunguka muda mrefu, askari walikuwa wapi?
 
Huyo jamaa hakuwa gaidi,angeanza na huyo boda aliempeleka hapo inawezekana lisemwalo lipo kadhulumiwa na polisi,wasomali hawajawahi kuniangusha hata siku moja wana roho ngumu balaa.

Makarao Wa bongo sio binasamu wema,huko CCP hufundishwa namna ya kuibia na kutesa watu.
Kwa jeshi letu hili sio la kushangaza. Limewabumia
 
Wewe ndio huna akili.

Polisi wanne wamefariki.

Kwa hiyo huyo msomali alienda kuwaomba hao polisi waliokufa hizo silaha au siyo?

Akili pumba kabisa!
Hao waliokufa, walikufa wakati wanapokonywa silaha au wakati wa mapambano.?
 
Swali langu, hao police waliuawa baada ya kuporwa hizo silaha.? Walikuwa wangapi.? Jamaa alikuwa na silaha zaidi ya mbili sasa police wa kwanza alivoporwa silaha huyo police mwingine akawa anaangalia tuu.?
Ktk mapambano,kupora silaha uwa haijalishi wameporwa wakiwa hai au wamekufa..
Ushaihidi wa kuporwa uko wazi maana Hamza ameonekana akiwa na silaha za polisi. Awali alikuwa na bastola tu aliyoitumia kuua na kupora AK47
 
Ktk mapambano,kupora silaha uwa haijalishi wameporwa wakiwa hai au wamekufa..
Ushaihidi wa kuporwa uko wazi maana Hamza ameonekana akiwa na silaha za polisi. Awali alikuwa na bastola tu aliyoitumia kuua na kupora AK47
Hamza ameonyesah kuwa ni mzoefu sana, lazima kuna jambo kubwa sana nyuma linalopaswa kuchunguzwa
 
Hao waliokufa, walikufa wakati wanapokonywa silaha au wakati wa mapambano.?
Hahaha mkuu wewe noma, nadhani walikufa wakati wa mapambano, kuna clip moja nimeona hamza amemfyatua risasi ya mguu askari, halafu ana shabaha ile mbaya
 
Hamza ameonyesah kuwa ni mzoefu sana, lazima kuna jambo kubwa sana nyuma linalopaswa kuchunguzwa
Hilo swali linawafaa CCM

Screenshot_20210825-234122.jpg
 
Asante kwa hilo
Kama ni kusoma naelewa upana wake kwa kiasi changu ila siwezi kuhukumu kwa kusoma Jf na kufikia uamuzi

Siku hizi mataifa kama USA wamejifunza kutokukurupuka kwa kutamgaza haraka genge la watu bali husubiri kwanza upelelezi
Kama yaliyotokea Oklahoma au hujamsoma huyo na conclusion aliofikia Rais wa wakati huo? Na baadae upepo kubadilka?

Mda utaongea na kama ni Terror attack yatajulikana
Tuombe yasiwe hivyo
Na Mungu ajalie maana hayo mambo hatatafuna taifa na kila aliye juu ya uso wa dunia
 
NAWAZA YALE YA SINZA JAMAN HIVI ILE KESI WALIFUNGWA AMA.WALITOKA
INSP...
 
MWENYEKUJUA HALI YA HUYU BW SAAHIZI ATUJUZE....GAIDI ANAMWACHA JE HUYU

FB_IMG_16299412970191344.jpg
 
Inawezekana hilo pia
Ila Gaidi kaacha kushambulia Ubalozi na wananchi anawaambia ondokeni pia kuongea na yule mtoto na kuwaambia madereva waondoke na magari yao
Ugaidi upo ila hii sio mbinu za kigaidi labda iwe mbinu mpya
Kama ni Gaidi asingeenda kukaa kwenye kibanda cha Ubalozi kujihami

Habari hii nilipoiona nilijua ni ugaidi kwa jinsi ulivyoelezewa na zile picha ila sasa Vumbi limeanza kutulia
Tutayajua mengi zaidi
Gaidi haongei na watu na hatujawahi kuona maana huo mda hana kabisa
Magaidi nao Wana ji adjust ka kirusi tu Cha corona kina variant sembuse wahalifu
 
UONGOZI WA YANGA UMEWAPA POLESANA WAFIWA WOTE MUNGU AWAPE FARAJA WAKATI HUU MGUMU WA MAJONZI

Screenshot_20210826-042905.png
 
YAAANI YANAYOKUJA YANAFURAHISHA SANAA SANA NGOJA TUSIKATE TAMAA.....
 
Mbowe ana tuhumiwa kwa kuwa rubuni na kuwatumia wanajeshi walio ondolewa ktk Jeshi ktk vitendo vya Kigaidi na dhidi ya Serikali.
Kitendo cha kuwa tumia waliopo au walio kuwepo ndani ya Chama au ktk Jeshi au ktk Serikali haiwezi kuhalalisha vitendo vya Kigaidi hata kidogo...
We ndio mwendesha mashtaka, umeandika "mavi" tu hapa!
 
Back
Top Bottom