Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz tuna magaidi yetu,yanayotabasamu!!, uliwahi kumuona Osama kashika bunduki hadharani akiwafyatulia watu!!??,Osama alikuwa mtu wa batasamu mulwaaa,utapenda,kumbe ndo master mind wa ugaidi!!gaidi sio lazima ashike bunduki live!Alafu kuna mtu anasema Mbowe Gaidi
Kwa story za kibiti na series zake jeshi liimarishe usalama nisipuuze kitu kwa kudaganywa na dhuluma tu mkuuHuenda ikawa unavyowaza au ikawa tofauti kabisa na tunavyodhani
Ukweli utadhihirika bado ni speculation tu
😁😁😁😁😁😁😁😁😁Nmepokea malalamiko kwa ndugu zangu wengi kuwa wamekuwa wakipigiwa simu kuulizwa kuwa msiba utakuwa wapi.
Na ni kutokana na kutangazwa kuwa katika tukio la jana polisi watatu walipigwa risasa na kuaawa pamoja na MTU ASIYEJULIKANA naye aliuawa...
😬😬😬😬😳😳😳😳 Bado tu mnakomalia hiyo issue?Aliyeuwawa ni Hamza bhana! Na siyo wewe. Wewe zamu yako ni mpaka Lissu atakaposhika madaraka ya Urais, ndipo atakutafuta na wale wenzako wengine mlioshiriki kumpiga risasi kule Dodoma.
Acha ubaguzi wewe mwenyewe ukifatiliwa utakuta siyo mtanzaniaGaidi ni gaidi huko kuchimba dhahabu ni kuficha uovu
Haya yanatakiwa yarudi somalia yakauane yenyewe
Nmepokea malalamiko kwa ndugu zangu wengi kuwa wamekuwa wakipigiwa simu kuulizwa kuwa msiba utakuwa wapi.
Na ni kutokana na kutangazwa kuwa katika tukio la jana polisi watatu walipigwa risasa na kuaawa pamoja na MTU ASIYEJULIKANA naye aliuawa.
Mimi nipo salama. Sikuwa eneo hilo kwa jana. Nlikuwa sehemu ya mbali kabisa na tukio. Na niwaambie kuwa mimi nipo salama kabisa sina hata mkwaruzo.
Napenda pia kutumia nafasi hii kuwaambia moderators wamwambie jamaa aliyeandika kuwa MTU ASIYEJULIKANA AMEUAWA abadilishe hilo jina. Na pia aniombe radhi kwa kunizushia.
Ni GAIDI wa Alshabab imeshabainika
MOGADISHU (HOL) - The man behind the killing of three police officers and a security guard near the French embassy in Dar es Salaam Wednesday is the brother of a former Al-Shabaab operative who was killed a while back in central Somalia, HOL can authoritatively reveal.
Unayajua mazingira yaliyopelekea wao kuporwa hizo silaha?
Vipi kama hao askari walikuwa ambushed na huyo jamaa akafanikiwa kuwaua au kuwadhuru na hivyo kuweza kuzichukua silaha walizokuwa nazo kiurahisi zaidi?
Ni rahisi sana kukosoa ukiwa umekaa mbali na eneo la tukio tena baada ya kupita masaa tele kuliko ungekuwepo hapo huku ukishuhudia tukio in real time.
Alivopora silaha akawaua hao police aliowapora silaha.? Hao walioporwa walikuwa wangapi na wameuawa wangapi.? Jumla ni Vifo vingapi kujumlisha na wale wanne waliouawa wakati wa kushambuliana.?
YaaapKwani kichaa ulishaona anafanyia kila mtu fujo?
Hivi hizi sare za CCM ni kwamba ni mwanachama wa CCM au ni fake?Upo sahihi ila nawaza kwa mfano angekamatwa na kuingiza siasa kwa mfano akamtaja Mwanasiasa yeyote kua amemtuma kutekeleza tukio.
Mngemuamini?