Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Alafu kuna mtu anasema Mbowe Gaidi
Tz tuna magaidi yetu,yanayotabasamu!!, uliwahi kumuona Osama kashika bunduki hadharani akiwafyatulia watu!!??,Osama alikuwa mtu wa batasamu mulwaaa,utapenda,kumbe ndo master mind wa ugaidi!!gaidi sio lazima ashike bunduki live!
 
Nmepokea malalamiko kwa ndugu zangu wengi kuwa wamekuwa wakipigiwa simu kuulizwa kuwa msiba utakuwa wapi.

Na ni kutokana na kutangazwa kuwa katika tukio la jana polisi watatu walipigwa risasa na kuaawa pamoja na MTU ASIYEJULIKANA naye aliuawa.

Mimi nipo salama. Sikuwa eneo hilo kwa jana. Nlikuwa sehemu ya mbali kabisa na tukio. Na niwaambie kuwa mimi nipo salama kabisa sina hata mkwaruzo.
 
Nmepokea malalamiko kwa ndugu zangu wengi kuwa wamekuwa wakipigiwa simu kuulizwa kuwa msiba utakuwa wapi.

Na ni kutokana na kutangazwa kuwa katika tukio la jana polisi watatu walipigwa risasa na kuaawa pamoja na MTU ASIYEJULIKANA naye aliuawa...
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Aliyeuwawa ni Hamza bhana! Na siyo wewe. Wewe zamu yako ni mpaka Lissu atakaposhika madaraka ya Urais, ndipo atakutafuta na wale wenzako wengine mlioshiriki kumpiga risasi kule Dodoma.
 
Nmepokea malalamiko kwa ndugu zangu wengi kuwa wamekuwa wakipigiwa simu kuulizwa kuwa msiba utakuwa wapi.

Na ni kutokana na kutangazwa kuwa katika tukio la jana polisi watatu walipigwa risasa na kuaawa pamoja na MTU ASIYEJULIKANA naye aliuawa.

Mimi nipo salama. Sikuwa eneo hilo kwa jana. Nlikuwa sehemu ya mbali kabisa na tukio. Na niwaambie kuwa mimi nipo salama kabisa sina hata mkwaruzo.

Napenda pia kutumia nafasi hii kuwaambia moderators wamwambie jamaa aliyeandika kuwa MTU ASIYEJULIKANA AMEUAWA abadilishe hilo jina. Na pia aniombe radhi kwa kunizushia.
 
Ni GAIDI wa Alshabab imeshabainika

MOGADISHU (HOL) - The man behind the killing of three police officers and a security guard near the French embassy in Dar es Salaam Wednesday is the brother of a former Al-Shabaab operative who was killed a while back in central Somalia, HOL can authoritatively reveal.
 
What’s the source of this intelligence??
 
Unayajua mazingira yaliyopelekea wao kuporwa hizo silaha?

Vipi kama hao askari walikuwa ambushed na huyo jamaa akafanikiwa kuwaua au kuwadhuru na hivyo kuweza kuzichukua silaha walizokuwa nazo kiurahisi zaidi?

Ni rahisi sana kukosoa ukiwa umekaa mbali na eneo la tukio tena baada ya kupita masaa tele kuliko ungekuwepo hapo huku ukishuhudia tukio in real time.

Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema jamaa alikuwa anakatiza mbele yao kama raia mwema ghafla akatoa bastola na kuwawasha! Ndio maana nimetoa ushauri askari amebeba silaha ile kitu ni hatari hivyo inatakiwa wawe active/makini 24hrs ,waweze kuona hatari ndani ya 20m toka walipo,wasiamini mtu yeyote anayewa approach na ndio maana tangia tukio la kuvamiwa kituo cha polisi na kuua askari kisha kupora silaha kimewapa funzo askari na ndio maana kwenye kila kituo cha polisi wameweka Barrier.
 
Alivopora silaha akawaua hao police aliowapora silaha.? Hao walioporwa walikuwa wangapi na wameuawa wangapi.? Jumla ni Vifo vingapi kujumlisha na wale wanne waliouawa wakati wa kushambuliana.?

Kaua wawili akawapora silaha ,wengine watatu walikuwa hawana silaha wakakimbia na wengine aliwajeruhi.
 
Mwanzisha Uzi ondoa Jina langu kwenye heading. Mimi sijauawa. Na wala sikuwepo jana. Nielewe please. Unanisababishia usumbufu kwa ndugu zangu.
 
Huyu mtu huyu atakuwa amechafukwa na watu wakamchukulia poa badala ya kumsaidia.Matokeo yake ndio haya.Hiki kitakuwa ni kisasi.
 
Upo sahihi ila nawaza kwa mfano angekamatwa na kuingiza siasa kwa mfano akamtaja Mwanasiasa yeyote kua amemtuma kutekeleza tukio.
Mngemuamini?
Hivi hizi sare za CCM ni kwamba ni mwanachama wa CCM au ni fake?
 
Back
Top Bottom