Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Pamoja na yote yaliyotokea hakustahili kufa
 
Wadau wanasema ni mwana CCM.
Lakini nafikiria kwani CCM na tukio kunauhusiano?
Tuepuke kujaji mambo mapema mkuu. Mbona wengine walianza kuhusisha na CDM kwa kadi fake? Nadhani unanipata mkuu.
 
Tuepuke kujaji mambo mapema mkuu. Mbona wengine walianza kuhusisha na CDM kwa kadi fake? Nadhani unanipata mkuu.
Hata mimi nilianzisha uzi kupinga hayo.
Watu tulianza kuhukumu mapema sana.
 
Tuepuke kujaji mambo mapema mkuu. Mbona wengine walianza kuhusisha na CDM kwa kadi fake? Nadhani unanipata mkuu.
Hata mimi nilianzisha uzi kupinga hayo.
Watu tulianza kuhukumu mapema sana.
 
Hata mimi nilianzisha uzi kupinga hayo.
Watu tulianza kuhukumu mapema sana.
Sawa mkuu. Hata sasa baada ya kijulikana kwamba ni mwanachama wa CCM, nadhani haifai kuhusisha chama chake, jambo libaki kwa mhusika mwenyewe. Watu waache ushabiki wa mambo ya kisiasa. Nadhani hili litawafunza watu baada ya mhusika kujulikana ni mwanaCCM tofauti na walivyoanza hadi kufake kadi ya CHADEMA. Ni hayo tu mkuu.
 
Kweli kabisa mkuu hata mimi nilieleza hivyo.
Pia unaweza soma hapa Wabongo tuache unafiki
 
Popote duniani Ardhi ulipo ubalozi ni nchi nyingine

Ulipo ubalozi wa ufaransa ni nchi ya ufaransa

Askari waliokuwepo waliouawa walikuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa eneo la ubalozi wa ufaransa Tanzania

Hamza ni gaidi sababu alirusha risasi na kuua watu waliokuwa kwenye ardhi ya nchi ya ufaransa polisi watatu na mlinzi mwingine wakiwa nchini ufaransa na risasi zikatua nchi ya ufaransa

Ni gaidi sababu kavamia nchi ingine na kuvurumisha marisasi hivyo ni gaidi
 
Hamza hakuwa ubalozini, na hakuuwawa ubalozini. Hamza alikuwa eneo la wazi lililokuwa karibu na ubalozi wa ufaransa, ni barabarani, mtu yoyote anafika na kupita. Hamza alikuwa na visa binafsi dhidi ya Polisi wa Tanzania, alisikika hivyo na aliwalenga polisi.

Tusilazimishe mambo ya kipuuzi hapa JF.
 
Eneo la ubalozi linaishia kwenye uzio wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…