Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Sahihi iundwe huru ya Kijaji.
 
Hayo hayayafanyika, GAIDI ni kada mtiifu hadi chama kimetuma rambirambi
Heshima kwako brother Kuna untold story of injustice kuhusu marehemu bwana hamza lakin police huyo jamaa ni mutu ya singo ilikuwa na mzigo ambao wapolice waliitaka mdhurumu nasikia swala hili halina uhusiano na siasa Wala ugaidi ila palikuwa na dhuluma
 
Naunga hoja inaonekana hatuna level nzuri ya kupambana na matukio hayo angekuwa ametarget raia ingekuwa na madhara makubwa sana.

Nusu saa jamaa anatamba mitaa yenye ofisi nyeti na milio ya risali inasikia bila hatua yoyote kuchukuliwa.

Siwalaumu Polisi labda hawana mafunzo mazuri yaani walikuwa wanakosa target na kushoot mbali na target wote ambao walikuwa wengi na katika close range.

Tanzania tumepeleka majeshi Msumbiji kupigana na watu wa aina hiyo inabidi tujitayarishe hata kujifunza kwa majirani zetu Kenya wao wana uzoefu .
 
Ni sawa tu polisi wakichunguza, dhuluma haihalalishi mauaji, hata kama wamemdhulumu bado hakua na haki ya kuwaua polisi,zipo njia nyingi ambazo angezitumia.
 
Kama alidhulumiwa na Polisi wa Chunya, kwanini revenge afanye kwa Polisi wa Dar?
 
Hii habari ingefikia mkononi mwa mkenya
Yule mohamed Ali angei document vizuri sana
Ila waandishi wa sahv bongo habari za udaku
Umbeya zimewaaribu
Pascal Mayalla

Ova

Jamaa nilikuwa namkubali sana makala zake kama zile la jaramandia la uhalifu ,yaani anahadithia unaelewa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…