Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo yule alikuwa anamnyatia kwenye corner ya ukuta wakati jamaa yupo kwenye kibanda?Yule mlinzi aliyeuawa nafikiri alimletea shobo, asingefanya hivyo nadhani asingeuwa kama raia wengine ambao hawajauawa.
Sahihi iundwe huru ya Kijaji.Pole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa.
Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye watu wenye ujuzi na weledi ktk maswala ya kiusalama na sheria kisha waweke report hiyo adharani.
Mimi nadhani tungeanzia hapo bunge au Rais mwenyewe mmoja wapo aunde tume. Hili swala uwenda likawa na mambo mengi tusio yajuwa. Bado nina amini nchi yetu ipo salama na vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara. Asante
Sasa,aliwachakaza askari waliomdhulumu,au kaua hovyohovyo?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hapana huyo ni usalama wa taifaNdiyo yule alikuwa anamnyatia kwenye corner ya ukuta wakati jamaa yupo kwenye kibanda?
Heshima kwako brother Kuna untold story of injustice kuhusu marehemu bwana hamza lakin police huyo jamaa ni mutu ya singo ilikuwa na mzigo ambao wapolice waliitaka mdhurumu nasikia swala hili halina uhusiano na siasa Wala ugaidi ila palikuwa na dhulumaHayo hayayafanyika, GAIDI ni kada mtiifu hadi chama kimetuma rambirambi
Shekhe yuleyule tofauti kanzu tuSasa,aliwachakaza askari waliomdhulumu,au kaua hovyohovyo?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naunga hoja inaonekana hatuna level nzuri ya kupambana na matukio hayo angekuwa ametarget raia ingekuwa na madhara makubwa sana.Pole jeshi la polisi pia pole taifa kwa msiba mzito ulio tukuta kama Taifa. Ila Kuna ukweli watanzania wanaitaji kujuwa na ukweli huwo utatuweka huru na kila maneno yanayo endelea kwa sasa.
Sidhani kama itakuwa vyema jeshi la polis liachiwe jambo hili pekeyake pasipo kuunda kamati maalumu yenye watu wenye ujuzi na weledi ktk maswala ya kiusalama na sheria kisha waweke report hiyo adharani.
Mimi nadhani tungeanzia hapo bunge au Rais mwenyewe mmoja wapo aunde tume. Hili swala uwenda likawa na mambo mengi tusio yajuwa. Bado nina amini nchi yetu ipo salama na vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara. Asante
Ni sawa tu polisi wakichunguza, dhuluma haihalalishi mauaji, hata kama wamemdhulumu bado hakua na haki ya kuwaua polisi,zipo njia nyingi ambazo angezitumia.Heshima kwako brother Kuna untold story of injustice kuhusu marehemu bwana hamza lakin police huyo jamaa ni mutu ya singo ilikuwa na mzigo ambao wapolice waliitaka mdhurumu nasikia swala hili halina uhusiano na siasa Wala ugaidi ila palikuwa na dhuluma
Bogus kwenye ubora wako
Brother karaoke hujawahi soma hadithi inaitwa DUNIA UWANJA WA FUJONi sawa tu polisi wakichunguza, dhuluma haihalalishi mauaji, hata kama wamemdhulumu bado hakua na haki ya kuwaua polisi,zipo njia nyingi ambazo angezitumia.
Kama alidhulumiwa na Polisi wa Chunya, kwanini revenge afanye kwa Polisi wa Dar?Heshima kwako brother Kuna untold story of injustice kuhusu marehemu bwana hamza lakin police huyo jamaa ni mutu ya singo ilikuwa na mzigo ambao wapolice waliitaka mdhurumu nasikia swala hili halina uhusiano na siasa Wala ugaidi ila palikuwa na dhuluma
Hii habari ingefikia mkononi mwa mkenya
Yule mohamed Ali angei document vizuri sana
Ila waandishi wa sahv bongo habari za udaku
Umbeya zimewaaribu
Pascal Mayalla
Ova
Rudisheni dhahabu za HamzaSasa,aliwachakaza askari waliomdhulumu,au kaua hovyohovyo?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Jamaa nilikuwa namkubali sana makala zake kama zile la jaramandia la uhalifu ,yaani anahadithia unaelewa kila kitu.
Sijajua mkuuNdiyo yule alikuwa anamnyatia kwenye corner ya ukuta wakati jamaa yupo kwenye kibanda?