Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Katika tuhuma zinazosambaa mitandaoni ni kua Jamaa kadhulumiwa na hao hao uliowataka wafanye Uchunguzi. Anyway, ngoja tuoneScenario inayosemwa ni kuwa zile silaha alinyang'anya maaskari baada ya kutaka kumwonea kimakosa, haya mambo yanafanyika sana hasa wale wanaitwa tigo wanaozunguka na pikipiki ni washenzi sana wale. Hapo mtambambika kesi kuwa alishirikiana na gaidi walioko Zambia kwa sababu mnajua hawezi ongea lakini damu yake itawa hunt mmoja baada ya mwingine na hamtatoboa!!