Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kuna audio ina hizo kituClip yako haionyeshi hizo mboko.
kila mtu ajali afya yake na wale awapendaoSubiri watu watakapo anza kudondoka kama kuku wa kideli ndipo watu wataanza kuchukua tahadhali na kuanza kuilaumu serikali kuwa haijachukua hatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa Mkuu, ila ndio naamini watanzania hali ngumuila watz sio kila kitu mpaka serikali iwambie mambo mengine ni kujiongeza. Mnajua kabisa kuna corona na bado mnajazana ma bar si mnunue piere mkanywee nyumbani au issue ni ma barmaid
Halafu bar unaenda kufanya nn, mpira hakuna, TV zote corona corona, wabongo ubishiKipindi hiki cha corona tungekaa tu home! Baa sio lazima! Tunazingua!
Picha, video ziko wapi?DAR WATEMBEZEWA FIMBO KAMA INDIA.
Polisi Kanda ya Kinondoni jana usiku walifanya operesheni katika maeneo ya Bar na Kumbi za Burudani kutumia nguvu kupunguza mikusanyiko.
Polisi walionekana katika maeneo mbalimbali wakitumia fimbo kwa wale waliokuwa wakaidi kutoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haukupiga hata kapicha ?DAR WATEMBEZEWA FIMBO KAMA INDIA.
Polisi Kanda ya Kinondoni jana usiku walifanya operesheni katika maeneo ya Bar na Kumbi za Burudani kutumia nguvu kupunguza mikusanyiko.
Polisi walionekana katika maeneo mbalimbali wakitumia fimbo kwa wale waliokuwa wakaidi kutoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
video iko kwenye Uzi wa "jf usiku wa manane"Haukupiga hata kapicha ?
Mkuu naomba collabo in advance.one day ntakuja kumpiga polisi mpaka ajiulize "why me?"
usiwaze ngoja time ifike niko far from homeMkuu naomba collabo in advance.