Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
Utampiga kwa kutumia nini?one day ntakuja kumpiga polisi mpaka ajiulize "why me?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Utampiga kwa kutumia nini?one day ntakuja kumpiga polisi mpaka ajiulize "why me?"
Naiomba PM mkuu.Ninayo video ila shida ndo hivyo haiwezekn kupost hapa jana sinza watu wamekula sana bakora
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani
hata ngumi yaani unapigwa na mtu mwenye fimbo🙀🙀🙀
Rais wetu hana upendo na sisi raia wake, kama angekua na upendo kwa raia basi angepiga "TOTAL LOCK DOWN". Ila muda si mrefu tutakua kama Italy au Spain kwa dharau za kijinga viongozi wanazojiwekea dhidi ya Corona.
Uganda siku ya tatu baada ya kutangaza mgonjwa wa kwanza wa Covid 19, Musseven alipiga total lock down nchi nzima, leo Uganda inatangazwa ndio nchi ya kwanza kushunda vita dhidi ya Covid 19.
Jana usiku polisi walivamia mabaa ya kinondoni wakitawanya watu na kuwapiga viboko,ni vizuri wangetangaza officially watu wajue wafahamu.
Clouds Fm wakimhoji mkuu wa wilaya kinondoni amesema kwamba watu hawajielewi kuna corona halafu wanaleta mikusanyiko,na kasema yeye ndo kaagiza watandikwe na kama kushitakiwa ashitakiwe ila amewaepusha na corona.
NB.Lakini kwa wakati kama huu watu pia hawajielewi,kuna maambukizi ya Corona bado wanaenda kwenye starehe na mziki wanalewa.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧

Wamefunga baada ya kuambukizana na wahudumu wawili kuwekwa karantini mloganzila usifikiri wamefunga Kwa kupenda wenyeweNasikia liquid ya changombe imefungwa
sio kila mtu anauwezo kama wako kunabaadhi ya watu hawawezi kupata chakula mpaka watoke majumbani mwao. Ninakumbuka sikumoja mwalimu nyerere alisema kuwa tumebakiwa na maadui watatu nao ni umaskini,ujinga na maradhi. Fikilia kabla ya kusema jamboRais wetu hana upendo na sisi raia wake, kama angekua na upendo kwa raia basi angepiga "TOTAL LOCK DOWN". Ila muda si mrefu tutakua kama Italy au Spain kwa dharau za kijinga viongozi wanazojiwekea dhidi ya Corona.
Uganda siku ya tatu baada ya kutangaza mgonjwa wa kwanza wa Covid 19, Musseven alipiga total lock down nchi nzima, leo Uganda inatangazwa ndio nchi ya kwanza kushunda vita dhidi ya Covid 19.
Kwani watu hawajaambiwa wabaki majumbani?Kuna watu wanapenda sifa sana,Mkuu wa wilaya angetangaza ili watu wabaki majumbani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakalewe nyumbani tuvumilie kipite kipindi hiki kwanxa